BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,182
- 11,779
Hivi ikatokea mtu ambae alikutoa bikira anarudi anakuomba mechi na unakuta umeolewa au una mpenzi wako.
Je, utampa mechi au utamtolea nje?
Zamani nlikua napata tetesi kua mwanamke ukimtoa bikira hata akaolewa ukimuomba mechi za ugenini anakupa.
Je, kuna ka ukweli wadau?
Je, utampa mechi au utamtolea nje?
Zamani nlikua napata tetesi kua mwanamke ukimtoa bikira hata akaolewa ukimuomba mechi za ugenini anakupa.
Je, kuna ka ukweli wadau?