Kwa wanawake tu

Kwa wanawake tu

ng'home

Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
97
Reaction score
12
Mimi nina umri wa miaka 34 natafuta mke awe na umri wa miaka 28-31,Mwenye sifa hiyo anitafute 0715898965 tutaongea unaweza andika sms
 
Haya haya, single ladies come this way.

Good Luck.
 
Id's mpya tu ndo zinatafutaga mme/ mke/mchumba?
Au ndo maswala ya multiple id's!??
 
Id's mpya tu ndo zinatafutaga mme/ mke/mchumba?
Au ndo maswala ya multiple id's!??

Ukute anamtega Mwenzi wake tu.....anamvizia atume maombi...akutwe na bwana pepsiii.....

Mawazo yangu tuuu....Gud luck Broo....
 
Hahahaaa duuu., ila huyu atakuwa hategei bwana pepsi, yupo siriaz., best wishes mwaya
 
Wengine umri bado, tukifika umri huo tutatuma msg
 
Duh, haikuwa bahati yangu, am 26yrs, anyway ipo siku wa kwangu atajitokeza!
 
Duh, haikuwa bahati yangu, am 26yrs, anyway ipo siku wa kwangu atajitokeza!

Bado mdogo..subiri ukue kue...just kiddin...

Usikate tamaa...your dreams still valid....
 
Miaka 34 umeshindwa kupata mke mitaan?
Ngoja ukumbane na ukoo wa David Cameroon hapo ushishangae kupokea sim ya dume halafu linakuomba ukalisugue mbona utajuta kutoa namba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom