"Oooooo...Nipeleke chooni
baby......", haka ndo kamsemo kao wakitaka kutoa min kabang, wala hata
hawalazimishwi walio wengi! Ooooh, sori, hivi mmesema ni "kwa wanawake
tu.." Mimi ni Dume, sema tu nimejisahau.....! Kwa heri jamani msije
mkanirushia mawe bure!
Oooh my GOD,ukimpata wa hivyo mtimue kwa mateke hata kama ni saa nane ucku,Laaana iwe nae.