cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 500
kina dada wenzangu mnadhani hii inatokea kwa kiwango gani?
let say ktk pair ishirini za wapendanao mnadhani ni ngapi ya ishirini ya wanaume wako kama huyu bwana.
Utajuaje kama mpenzi wako anakuwazia kama huyu kaka anavyomuwazia huyu dada?
Thanks God ingekua hii ni picha ya mim na mpenzi wangu wote tungetokea tunawaza kama huyu dadaπanda:πanda:πanda:πanda:
Muwe na week end njema lkn mumuombe Mungu aifanye mioyo yenu na ya muwapendao iwe na nia moja.
sina uhakika na hizi jinsia.
Cheusimangala ni ngumu sana .
Labda kwa imani tu unakuwa unawaza labda ananipenda na kuniwazia mie
ni kweli.
ni vigumu sana kuwagundua hasa kabla hawajapata wanachokitaka maana ni good pretenders.
Hata hivyo sio wote.
kumbuka pia hiyo picha ingeweza kuwa ni mwanaume mwenye mapenzi halafu mdada akatokea badala ya huo moyo ikawa wallet,hivyo sio wanaume tu wanaowaza kinyume na matarajio ya wenza wao,hata sisi kina dada wapo wanaokua na mtu lkn wala hana mapenzi ana vitu vyake vingine kabisa anavyovitaka toka kwa mkaka.
Siku zote wanaume hata wanawake kabla hatujajiingiza ktk mahusiano ni vyema kumuomba mungu atupe macho ya rohoni,bila msaada wa Mungu ni rahisi kuishia kuwa kama huyu mdada ktk hii picha.
kina dada wenzangu mnadhani hii inatokea kwa kiwango gani?
let say ktk pair ishirini za wapendanao mnadhani ni ngapi ya ishirini ya wanaume wako kama huyu bwana.
Utajuaje kama mpenzi wako anakuwazia kama huyu kaka anavyomuwazia huyu dada?
Thanks God ingekua hii ni picha ya mim na mpenzi wangu wote tungetokea tunawaza kama huyu dadaπanda:πanda:πanda:πanda:
Muwe na week end njema lkn mumuombe Mungu aifanye mioyo yenu na ya muwapendao iwe na nia moja.
Mimi naona kama hiyo kopa ya mwanaume inaangalia chini ya mwanamke imegeuka juu. Hii ina maana gani ? Ayaaaa kumbe mie kidume, ngoja nichomoke kabla sijastukiwa.
Naomba kamati ya Ulinzi .............
ntasimama tu hapo nje mlangoni ili wasifungue na kuingia.....teh.....
am out sirudi tena kusoma yanayoendelea
kina dada wenzangu mnadhani hii inatokea kwa kiwango gani?
let say ktk pair ishirini za wapendanao mnadhani ni ngapi ya ishirini ya wanaume wako kama huyu bwana.
Utajuaje kama mpenzi wako anakuwazia kama huyu kaka anavyomuwazia huyu dada?
Thanks God ingekua hii ni picha ya mim na mpenzi wangu wote tungetokea tunawaza kama huyu dadaπanda:πanda:πanda:πanda:
Muwe na week end njema lkn mumuombe Mungu aifanye mioyo yenu na ya muwapendao iwe na nia moja.
Mimi naona kama hiyo kopa ya mwanaume inaangalia chini ya mwanamke imegeuka juu. Hii ina maana gani ? Ayaaaa kumbe mie kidume, ngoja nichomoke kabla sijastukiwa.
Samahani akina Dada, hasa Cheusimangala, nilikuwa ninapita tu, "Jicho halina pazia". Lakini baada ya kuona maoni ya huyu kaka nimeamua kuchangia kidogo. Ukianza kutaka kujua tafsiri ya nani inaangali chini, ya nani juu unaweza kupata maana kibao kwa kadiri ya ufahamu wako. Kwa hivyo naomba utoe tafsiri yako tuchangie. Na pia ikiwezekana tusaidie kwa nini kopa ya mwanamume ni nyeupe na ya mwanamke ni nyeusi.
:focus: Nafikiri tusi"generalize" sana. Kuna wanaume wabaya na wazuri, kuna wanawake wazuri na wabaya. Kumpata wa chaguo lako kwa asilimia kubwa itategemea sana na uchunguzi wako kabla ya kujiingiza, bila ya kusahau bahati na maandiko ya Mungu.
usidanganyike mpendwa kirahisi hivyo....
kwenye mawazo yao, huo moyo wa msichana uko upright ila wa mwanume umepinduka na kuwa kama mahips hivi. so inaomnesha hana mapenzi ya kweli ila tamaa tu!
hakuna lolote hapo dada yangu!
U r right! utakumbukwa kwa sex tu, otherwise niko busy.mmh! Wengi huwa waongo. Mimi nikishaona kuanzia asbh hadi usiku hata msg ya hi sijapokea najua siwaziwi.
Kuna wengine wanakuwaza week end tu.
usichomoke bakia tu.Nikisema wanaume msifungue namaanisha WANAUME FUNGUENI maana zile sehemu zilizopigwa marufuku ndio zinapendwa zaidi.
angalia vizuri anachokiwazia huyo kaka utaelewa.
usipoelewa kabisa ntakupa namba yangu unibeep nikupigie nikueleweshe kwa ufasaha.