Kwa wanawake tu.wanaume msiangalie hapa ni muhimu

Kwa wanawake tu.wanaume msiangalie hapa ni muhimu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Jamani hizi dawa za insta ni za kweli? Kuna uchafu wa hivi kweli? Au alikuwa Na fibroid huyu?
Screenshot_20181218-160622.jpg
 
Mimi binafsi siamini kujimezea midawa ya kienyeji kienyeji enyeji tu, tena hasa zaidi dawa zitalenga viungo vya uzazi hapana kwa kweli

Na insta kulivojaa dawa za kienyeji za kusaidia watu kubeba mimba mh hali inaogopesha
 
Nashindwa kuelewa hizi nyama ni za nini?
 
i hope mpka muda huu atakuwa yupo hospital or kituo cha afya kilichokaribu...if not anayaweka maisha yake hatarin.!!inaweza ikawa ni small issue au big issue kutokana na Diagnosis(ugonjwa) alionayo.
 
Back
Top Bottom