OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Alaaa kumbe! Basi unandai kuku choma pale Dodoma sehemu moja hivi huwa hawafungi hadi usiku wa manane. Jina nmepasahau.
Chako ni chako!!!!!
Alaaa kumbe! Basi unandai kuku choma pale Dodoma sehemu moja hivi huwa hawafungi hadi usiku wa manane. Jina nmepasahau.
dah!! kumbe unakujaga huku!!
Sidhani....
Kwa sababu haya ni maneno ya "vijiweni" tu. Mengi mnayoandika humu mnafurahisha jamvi, mizinga mnayo na mnazidi kuichonga..kwanini?
Kwa sababu haya ni maneno ya "vijiweni" tu. Mengi mnayoandika humu mnafurahisha jamvi, mizinga mnayo na mnazidi kuichonga..