Kwa wanawake jf hakuna mwanaume mkweli

Kwa wanawake jf hakuna mwanaume mkweli

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,758
Wakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje .
Wanapotezea muda mtu isitoshe anaahidi mengi kumbe mwongo.
Anafikia kubaya sana anaahidi watu wazima jambo kumbe ni waongo.
Wanaume humu ndani wanakuwa sio wazuri asilimia zao fulani ni matapeli waongoo watakupotezea muda tu.
Nawashauri kama mnataka kuolewa kuwa na familia yenye heshima sio mwanaume wa humu.
Mwanaume ni yule unayemwona .
Anayekukubali unayemkubali anayekufia unayemfia zile feelings .
Ila humu utapoteza mb zako kutuma picha kuchart naye nausiku kumwota au kumuwaza.
So becareful mume wa kukuoa when time comes you will get married hata kama ni mwaka gani GOD IS ABLE IN EVERYTHING JUST BELIEVE IN HIM
POA JAMANI.
NIWATAKIE
images.jpeg
 
Mtandaoni ni kama mitaani sema fake life na pretenders ni wengi sana kiasi kupelekea watu kuona mitandao kama chaka la kujifichia na mambo yao

Muhimu ni kuomba Mungu tu akupe chaguo stahiki na moyo wako na mkaendana, wapo watu wanaolewa na wanaume wanatokea hum humu mitandaoni na bado wako kwenye ndoa zao
 
Mtandaoni ni kama mitaani sema fake life na pretenders ni wengi sana kiasi kupelekea watu kuona mitandao kama chaka la kujifichia na mambo yao

Muhimu ni kuomba Mungu tu akupe chaguo stahiki na moyo wako na mkaendana, wapo watu wanaolewa na wanaume wanatokea hum humu mitandaoni na bado wako kwenye ndoa zao
Aisee kweli jamani ila kwangu mimi muchumba kapatikana mtaani seriously .
 
Wapo
Mwanaume anaekufata inategemea na wewe mwanamke unavojiweka
I mean unavyojiweka ndo itadertermine ufuatwe na mwanaume wa aina gani
Unajiweka kimalayamalaya, kidangaji. Hapo lazima ufuatwe na hao uliowataja..waende wakatangaze ndoa ilhali wanajua wanamfata mdangaji?
Unajiweka kimalaya wanakuja kwa lengo la kukutumia sio kukioa
Unajiweka kitoto basi watakufata wasio serious na wenye mambo ya kitoto
Na ukiwa mtu makini serious minded utafatwa na walio serious

Jiangalie wewe kwanza.. Wanaume wa kuoa wapo
 
Mmh kwa humu JF sidhani sina uhakika but mm naamin mitaani kwetu mbona wake wa kuoa wapo wengi tu
 
Back
Top Bottom