Kwa wanawake 30+ tu wasio na wapenzi

Kwa wanawake 30+ tu wasio na wapenzi

You knooowww.... wanaume wote hawa... kwa mimi naona jishike kuujua mwili wako tuu....ila kazi ya Dyudyu ni ya Dyudyu
Mwenyewe nimekataa haya mambo ya kukosa wanaume sijui nini. Naanza kupitia maombi upya sasa hivi niwakubalie hata wanne tu.
 
Kuridhika kuko kwa mwanamke. Mwanamke akishakua akili haijatulia kitandani hawezi kuridhika. Ila sisi tunawasingiziaga wanaume sijui kibamia sijui show mbovu kumbe sisi ndo tunawafanya waonekane hawajui kuperfom. Mwanaume ukimpenda hata akikushika mkono wakati wa sex unaweza kucome.
Hapo nimekuelewa...
 
Haha haha kwa kweli kufika 30 huna mkazaji vipi!!! Kuolewa jambo moja, ku saidiwa kimahitaji ya mwili pia ni jambo lingine...oooohoo
Shida inakujaga unakuta wewe mdada umewaringia wengi so muda unavyosogea kwenda mbele wanaokusogelea nao wanapungua unashangaa umefika 30 wagusaji hakuna

Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom