Kwa wanawake 30+ tu wasio na wapenzi

Kwa wanawake 30+ tu wasio na wapenzi

Kuridhika kuko kwa mwanamke. Mwanamke akishakua akili haijatulia kitandani hawezi kuridhika. Ila sisi tunawasingiziaga wanaume sijui kibamia sijui show mbovu kumbe sisi ndo tunawafanya waonekane hawajui kuperfom. Mwanaume ukimpenda hata akikushika mkono wakati wa sex unaweza kucome.
Nmeipenda hii
 
Hiv mnafanyaga kaz,mbona maskin sana malaw,..nyie ni vibonde wetu so hamtwambii kitu. Dola 1US kwenu sh ngap?
Mkuu umasikini ni wa nchi ila wananchi tuna vipato vyetu na tuna maisha yetu kama ulivyo huko kwenu Kuna watu wako huko Mtwara wanalia ufukara lakini wapo akina
Mengi
Bakhresa
Gsm
Manji
Na wengine wengi huku kwetu wapo matajiri na utajiri wao

Au hao nilio wataja hawako Tanzania
Je wanao lalamika vyuma vimekaza sio watanzania ?
 
Wenye umri huo kwanza sio wasumbufu zile mambo za KITI imepanda, sijui nakufikiria, nitakujibu, ningekuja ila naumwa leo.. huwa awana hizo story kabisa yanii wao kama mzuka mzuka watu wana sign fasta then km akijatokea kitu
 
266590.jpg
 
Mkuu umasikini ni wa nchi ila wananchi tuna vipato vyetu na tuna maisha yetu kama ulivyo huko kwenu Kuna watu wako huko Mtwara wanalia ufukara lakini wapo akina
Mengi
Bakhresa
Gsm
Manji
Na wengine wengi huku kwetu wapo matajiri na utajiri wao

Au hao nilio wataja hawako Tanzania
Je wanao lalamika vyuma vimekaza sio watanzania ?
Sasa uzi huu na kufanya kaz viliingiliana vp had utoe kaul ile.?
 
Back
Top Bottom