Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,814
- 95,726
Utamu gani?Mkuu njoo unitunuku utamu basi
Utamu gani?Mkuu njoo unitunuku utamu basi
Hahhahaaa mzigua nahitaji wawili above 35[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi Blue BirdPale pana kunguni sana afu vitanda vyao vinapiga kelele sana...
Ukinivuruga nakuvurugaAh ah ah ah ah ah ah ah ah ah Nimecheka Sana Bibie Ila Tambua Asilimia Kubwa Ya Wanawake Wa Sasa Ni Kivuruge
Nini tena??Mzigua unazingua!
Hasara kwa taifa na mwiliPia kufa na utamu ni hasara kubwa wallah...[emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna banah hatuonani tuu sijui kwanini.
Lakini huku mbona kama sio kupunguza stress naona kama mnapandishana genye tuu [emoji6]
Sina papuchi nina UchiPAPUCHI..
Naona umedanganya hapaNina mume. Am 38
Could you explain? Sio rahisi kuwa na mpenzi kila wakati kama huna permanent30+ unakosaje mpenzi?
Wawili wa kazi gani mkuu? 3some?Hahhahaaa mzigua nahitaji wawili above 35
hahaahaaSina papuchi nina Uchi
Kuwa na mpenzi au kutokuwa na mpenzi ni maamuzi ya mtu. Kama wapo single kwa matakwa yao basi ni vizuriCould you explain? Sio rahisi kuwa na mpenzi kila wakati kama huna permanent
Katika vitu ambavyo huwa sidanganyi ni umri. Najivunia umri wangu.Naona umedanganya hapa
Kuwa na mpenzi au kutokuwa na mpenzi ni maamuzi ya mtu. Kama wapo single kwa matakwa yao basi ni vizuri
Haki hainiingii akilini huo umri Demi.Katika vitu ambavyo huwa sidanganyi ni umri. Najivunia umri wangu.
Kwanini jamani? Kwani unanijua?Haki hainiingii akilini huo umri Demi.
1. Mizinga ikizidi30+ unakosaje mpenzi?
Au ni kwasababu nachekacheka hapa jukwaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi mtu mzima banaa, mwanangu yupo form 2.Haki hainiingii akilini huo umri Demi.