Nazifahamu hizi event za Hackathon,ni wazo zuri sana kwa kukuza uwanja wa sayansi na teknolojia lakini ni rahisi kuanza kwa kundi dogo la watu wachache walio tayari kufanya hili,kinachohitajika ni maandalizi machache na moyo kujituma na utayar wa kazi,
Kwa msiozifahamu event hizi,zimezalisha product kadha wa kadha zilizonunuliwa na makampuni makubwa kamyUa Google,Skype,Adobe,kwa mamilioni ya dollars,kwa info zaidi,pitia hapa,
https://en.m.wikipedia.org/wiki/Hackathon