Kwa Wanaume

Huh sasa umepinga nini na ukaongea nini? Si umesema hakuna kanuni!! Hapo hapo ukasapoti kuwa kuna kanuni na tumeachana na kanuni hizo🙆‍♂️🙆‍♂️

Msingi wa Beijing ni "haki sawa kwa wote" kitu ambacho ndicho hicho hicho umekiongelea lkn katika misingi ya 'zamani'. Ufeminism hauna shida, shida ni tafsiri ya watafsiri.
 
Hiyo namba tisa hapana.
Hilooo...

Kama unampenda kweli unaweza msaidia na huwazii...na hata masela wakiongea hujali...au wewe ni wale wakoloni wa kusema ananitawala🤣🤣
 
Ushauri wa maana kama huu huwezi wakuta wanakusapoti. Ila ungeongelea umalaya ungesapotiwa hatari.
Hapo tayari ushaona masilahi ya jinsia yako katika alichokiandika mtoa mada. Huwa hamtaki kabisa reciprocal, mnataka nyir muwe wapokeaji tu. Mwanamke uende kazini, kipato chako kisionekane nyumbani, na bado uhudumiwe mahitaji yako. Sasa una faida gani ndani ya nyumba
 
Side effects za feminism zipo wazi kabisa. Kupanda kwa rate ya talaka, anguko la taasisi ya ndoa, ongezeko la single mother, kupolomoka kwa maadili ya mtoto wa kike, kushuka kwa thamani ya mwanamke, uhasama wa kijinsia kwenye jamii n.k.. Ni feminism ipi iyo unasema haina shida?
 
Namba 1 na 9 umeandika upumbavu tu.

Namba 14 na 15 zinahitaji marekebisho kidogo. Mwanaume linda masilahi yako na ujipe kipaumbele wewe mwenyewe halafu mke na watoto ndio wafuate. Jiandalie maisha yako ya uzeeni. Ukizeeka ni akiba na investments zako tu zitakutunza. Watoto wakishirikiana na mama yao kukugeuka ni dakika 0 tu
 
Kuna shida gani ukifanya hivyo?
Ushamba tu na ulimbukeni sisi tumekua kuanzia watoto wa kiume tena miaka ya 90 unatumwa mashine huko kukoboa na kusaga mahindi maisha yalikua poa sana na baadae Mzee akaweka kipengele kingine kupika ni mtu yeyote anaewahi home uwe wa kiume au wa kike kwa hiyo wote tunajua kupika..
Wengi wanaokataa kujihusisha na chakula cha home wanakula bar na wachoyo kwa familia zao wakirudi wameshiba..
Mtu hata kununua chakula sokoni eti hawezi mara moja moja na muda anao anaenda home kula chakula asichopenda na hela ipo.
 
Hakika inashangaza, kucomplicate tu mambo bila sababu za msingi.
 
Hakika inashangaza, kucomplicate tu mambo bila sababu za msingi.
Pana muhuni anakwambia hata kumbeba mtoto wake hapana aisee...
Kununua chakula cha familia yake hapana...
Waje kwa wazungu waone wanavyojali familia zao kuliko kitu kingine chochote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…