Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Imebidi nirudie mara2, yuko vise versaLakini mbona kama hali ni tofauti?? Labda unaowazungumzia ni wa chini ya miaka hiyo 25.
Maana waschana wa 25 kwenda juu kama si yule aliyevurugwa wengi hujielewa.
Mengine yote uko sawa