Kwa wanaume wenye tatizo hili

Kwa wanaume wenye tatizo hili

Mdindifu ndio kitugani?
Ndokwanza nakutana na nenohili today
 
sioni raha yake,binafsi nafanya mapenzi ili nishushe mzigo sasa ikiwa sitaki mzigo ushuke si bora nisifanye hayo mapenzi tu!
Nalog off
 
letede mada zenye hoja na mafunzo kwa jamii

Kwani wewe unashindwa nini? Ukiona mada haikufai jua kwamba you are not the target audience, unasepa unatafuta mada inayokufaa

Halafu umeangalia hili ni jukwaa gani? Au umevamia tu na kuandika? Hapa ni MMU hakuna siasa huku
 
Kweli kiongozi inaonyeshaje asilimia kubwa ya wadanganyika wanapenda chini!!

Labda uelewa wangu ni mdogo , hebu nisaidie ndugu yangu sungura mtoto hili jukwaa linahusika na mada zipi?
 
Ushauri wangu n huu..ili uweze kuhimili game kwa mda mrefu.piga push up kadhaa(not below than 50).then pata mihogo mibichi hata kipande kwa siku,na supu ya pweza kwa kuongezea...kamwe hutaishiwa pumz TRY IT.
 
I love adventures tajaribu
 
Back
Top Bottom