Kwa wanaume wenye tatizo hili

Kwa wanaume wenye tatizo hili

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi; pre-mature ejeculation
Tiba yake ni rahisi sana ila inataka muda na uifanye kwa ukamilifu, tiba hii pia inawafaa sana wale wenye tabia ya kudidisha hovyo tafikiri wamekula mdindifu

Ni hivi Wakati unapokuwa unafanya ile dhambi unapokaribia kufika climax, mtulize mgosi huko aliko halafu vuta pumzi ndefu tatu yaani pumua mara tatu tu utaona mgosi ananywea, hapo ligi itaanza tena..!

Waweza fanya hivyo mara nyingi tu, na ukiona umechoka mtoe mgosi atapikie nje, wallah utaona hachukui dk 4 anakuwa live tena

Ukiliweza hili zoezi kwa wk 3 tu, utaniambia, hata aliyekula mkuyati wake hafui dafu
Kaaze kujaribu leo
 
kaka hebu taratibu kwanza! hebu tueleweshane hapa "MDINDIFU" ndo chakula cha aina gani.....!!!???
 
aiseeh! kuna watu hii sekta inawapa tabu sana,,,,,,,,,,,,,,

nyie endeleeni kuvuta pumzi tu , badala ya kurekebisha hizo mind set zenu mpige kazi kisawasawa kadri upendavyo..........
 
Ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi; pre-mature ejeculation
Tiba yake ni rahisi sana ila inataka muda na uifanye kwa ukamilifu, tiba hii pia inawafaa sana wale wenye tabia ya kudidisha hovyo tafikiri wamekula mdindifu

Ni hivi Wakati unapokuwa unafanya ile dhambi unapokaribia kufika climax, mtulize mgosi huko aliko halafu vuta pumzi ndefu tatu yaani pumua mara tatu tu utaona mgosi ananywea, hapo ligi itaanza tena..!

Waweza fanya hivyo mara nyingi tu, na ukiona umechoka mtoe mgosi atapikie nje, wallah utaona hachukui dk 4 anakuwa live tena

Ukiliweza hili zoezi kwa wk 3 tu, utaniambia, hata aliyekula mkuyati wake hafui dafu
Kaaze kujaribu leo

Anzisheni mada za maana. Msikurupuke. Nadhani kuna haja ya kuanzisha VAT kwa kila post inayoanzishwa hapa ndani.
 
Utakuja uvute pumzi alf the dudukiller ndo asisimame tena
 
QUOTE=Mwanamalundi;7869021]
Anzisheni mada za maana. Msikurupuke. Nadhani kuna haja ya kuanzisha VAT kwa kila post inayoanzishwa hapa ndani.
[/QUOTE]

Hahahaaaaa tunaomba darasa Mkuu jinsi ya kuanzisha mada zenye maana ,mimi nitakuwa mwanafunzi wako wa kwanza na mtiifu kweli
 
Dakika 5 zenyewe napumua ulimi kidevuni,sasa lisaa lizima mimi la nini??

Akaaa!! Sitaki nifie kitandani,Dakika zangu 3-4 zinanitosha...
 
Hahahaaaaa hahahaaaaa hahahaaaaa....!!
 
Tafuna mdalasin na asali maratatu kwa cku,mwz m1 mambo safi
 
Ili kuboresha matokeo makubwa sasa, hili swala liingizwe kwenye silabasi, limekuwa maarufu sana........!!!!
cc. mulugo5
 
Back
Top Bottom