Jamaa ameniambia kwamba huwa anampiga nje ndani hadi mwanamke mwenyewe anasema basi na ndo kinachomshangaza zaidi, au ampige ndogo kabisa? Ana wasiwasi jamaa huenda kapitiliza huko!Kama umeshindwa kumpa kisawasawa ndo athari za moja kwa moja hizo!!
Cha kufanya ni kujipanga ili umpe kisawasawa asihangaike huko nje!
'mesenja kaleta matatizo nyumbani' Max Bushoke na DDC Mlimani Park enzi hizo.........just remembering aloud.
Hapo kwenye red jamaa si msafi kihivyo, hata hivyo ushauri wako ntaufikisha kwake.Amepata ukweli kuhusu mke wake na sasa akae chini aamue. Ama kuendelea mbele au kuzima gari na kulitelekeza!
Hana tena nafasi zaidi ya kufanya maamuzi magumu. Pia ajiangalie kama na yeye ni msafi ki hivyo. Kama ni ajali ya kimapenzi ambayo hata yeye ingeweza kumpata wakati wowote auchune tu na kuendelea na maisha!
Hata hivyo anaweza kumwonesha mkewe hiyo sms na kumwomba siku nyingine awe makini ili aache kumrusha roho! Vinginevyo huyo ndiye my wife wake!!!
Hapo kwenye red jamaa si msafi kihivyo, hata hivyo ushauri wako ntaufikisha kwake.
Never for give the cheater alwaysHuna hili wala lile unasikia ujumbe umeingia kwenye simu yako ya mkononi, unaifungua na kukutana na sms yenye jina na namba ya mkeo huku ujumbe wenyewe ukisomeka hivi: "kweli nimeamini kwamba wewe ni mkali, nimekupenda sana kwa vituko vyako kitandani na ninaapa sitokuacha na nnakuomba nawe usiniache, asante sana". Unajaribu kufikiri kwa nn wife akutumie sms hiyo leo wakati mna miaka zaidi ya mitano ktk ndoa hupati jibu.
Unauchuna lkn unaporudi nyumbani na kuchukua cmu yake na kuiangalia unakutana na sms ileile lakini imetumwa pia kwa mtu mwingine na unapokwenda kwenye inbox unakutana na majibu ya sms ile ya kwamba "usijali kwani hata mm nimekupenda sana kwa namna unavyojishughulisha kitandani. Je, kama ndo yamekukuta wewe ndugu yangu utafanya nini?
Amini usiamini tukio hili ni la kweli na limemtokea mdogo wangu ambaye tumeolea familia moja na hadi sasa ni cku nne zimepita amesafiri na cmu ya mkewe pasipo kumweleza chochote hadi arudi wk ijayo. Afanyeje? Nishauri nikamshauri!
Huna hili wala lile unasikia ujumbe umeingia kwenye simu yako ya mkononi, unaifungua na kukutana na sms yenye jina na namba ya mkeo huku ujumbe wenyewe ukisomeka hivi: "kweli nimeamini kwamba wewe ni mkali, nimekupenda sana kwa vituko vyako kitandani na ninaapa sitokuacha na nnakuomba nawe usiniache, asante sana". Unajaribu kufikiri kwa nn wife akutumie sms hiyo leo wakati mna miaka zaidi ya mitano ktk ndoa hupati jibu. Unauchuna lkn unaporudi nyumbani na kuchukua cmu yake na kuiangalia unakutana na sms ileile lakini imetumwa pia kwa mtu mwingine na unapokwenda kwenye inbox unakutana na majibu ya sms ile ya kwamba "usijali kwani hata mm nimekupenda sana kwa namna unavyojishughulisha kitandani. Je, kama ndo yamekukuta wewe ndugu yangu utafanya nini? Amini usiamini tukio hili ni la kweli na limemtokea mdogo wangu ambaye tumeolea familia moja na hadi sasa ni cku nne zimepita amesafiri na cmu ya mkewe pasipo kumweleza chochote hadi arudi wk ijayo. Afanyeje? Nishauri nikamshauri!
Hayajanikuta mimi mkuu, nisingeficha ukweli ni huyo mdogo wangu wa kuoa katika familia moja. Amenisimulia kisa hiki ili nifikirie ili akirudi safari tukae tuyajadili kabla ya yy kuchukua maamuzi, ila cmu ya my wife wake ameondoka nayo.Au yamekukuta wewe?
Unatisha mkuu, sawa nitamweleza kama ulivyonishauri.
AFANYE YAFUATAYO:Utanipatia taarifa baada ya miezi mitatu kama mwanamke hajakonda kinoma ama kukimbia nyumba.
- Asimfukuze mke
- Ila ajue tu kuwa hapo hana mke tena
- Amwoneshe mke hizo sms zote, aliyotumiwa na zile alizokuta kwenye simu ya mke wake
- Asitukane wala kukasirika wala kuonesha reaction ya namna yeyote
- Kwa kuwa mkewe amecheat na hatoweza kumwamini tena, aangalia kama ataweza kuendelea naye katika tendo la ndoa au la, hapo ataamua mwenyewe
- Asipunguze huduma kwa familia.
- Atafute mwanamke mwingine wa kumpoza aka nyumba ndogo
- Asimwoneshe mwenzake kama ana nyumba ndogo
- Ikiwezekana nguo afue kwa dobi au afue mwenyewe au hata akimwacha afue sio mbaya
- Asihusike tena na masula ya mke wake zaidi ya kutoa kodi ya meza na huduma za watoto
- Asikubali vikao vya kusuluhisha wala nafasi ya kuliongelea jambo hilo na mkewe
- Halafu maisha yaendelee [Maana yake ni ADHABU YA KISAIKOLOJIA)
- Kimsingi hapo mke umempa talaka, ila yeye anashindwa kujua uamuzi wako
NB: Baada ya kama mwezi hivi nipe feedback
- Mke akikimbia asimfuate wala kubembeleza
- Lengo ni kumpa nafasi mwanamke afanye kila anachotaka
AFANYE YAFUATAYO:
Utanipatia taarifa baada ya miezi mitatu kama mwanamke hajakonda kinoma ama kukimbia nyumba.