low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,324
- 1,502
Vibanio gani mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Wenzako wanapenda vinaitwa slim fit na sio vibanio, wewe kama hupendi ni wewe, hata sisi hatupendi mawigi yenu yanakera na fake hair zenu kama mizimwi
Mapunga
Wanakuja kukupa majibu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Chakubanga hao
Usiseme vibanio sema slim fit ...ukisema vibanio unatukosea heshimaMimi na natural hair nazimefika mgongoni.
So mawigs ni kumaliza hela dawa nikuleta magonjwa ya ngozi so najipenda nakujitunza .
Acheni kuvaa vibanio kwa afya zenu.
Kwanza zinaleta fungus vibanio.
Mbili zinaleta ugonjwa wakuzimia kabisa kwa maana hupati hewa yakutosha.
Tatu unaonekana huyu mkaka niaje.
Ila ukivaa wastani suruali ikakukaa vizuri hata wanawake wakuoa watajitokeza ila kwa sasa watatokea ambao hawajitambui why kwaajili ya uvaaji watu serious hawataki watu vibanio wanataka wanaovaa kiheshima.
Kama umeoa badilika kama unataka kuoa vaa vizuri jamani.
Nimeona nimezimia hadi amuhemi.
Awezi hata kusimama asubirie haisi nini??
Tatizo mnakopi vibaya wenzenu hawajiui kama nyie so jaribuni kuiga vizuri yaani hadi hamtembei kwa raha.
Nyapu tamuu SanaWe acha tu na ndio maana wanaume wanaishia kujiremba mpaka na kunyoa nyusi na kubana sauti.
Mtaishilia kuolewa.
Maana majini mahaba wanafuata watu kama nyie
Sidhani kama mikoani utawakuta hao. Mikoani tunavaa kama wanaume waimba kwaya unavyowaona.Hivi kwa wale wanaume wanaobana suruali mpaka kila kitu kinaonekana halafu shati limebanwa kama nini huo sio usmart huo ni ushamba kwanza hujisikii kutembea kwa stepu .
Hukai kwa raha hukai kwa raha huishi kwa raha.
Vaeni mavazi mnayohema nakuishi kwa amani.
Acheni vibanio.
Mke mwema anatoka kwa Mungu.
Sio kutokana na vibanio.
Mnavyovivaa mimi siwezi kuwa na mtu anayevaa vibanio kama nini hata anipendeje siwezi kwa maana sio heshima kuvaa vibanio.
Sisi tunawadatisha nyie je nyie??
So jamani chochonde vaeni mavazi ya heshima ndio mtaheshimiwa.
Haifai kabisa ni sawa na mimi nivae suruali na mwanamke avae suruali nani mwanaume hapo sasa.Mm nivae mbanio na mwanaume wangu avae mbanio!? Sasa m'mke atakuwa nani hapo?! Na anabana ili aonyeshe kitu gan labda?! Na kuna wanaume wamejaaliwa maumbo mashaalah!! sasa cjui nae akivaa mbanio inakuaje, maofisin huko ni shidaaaa..
Kuna slim fit na vibanio kama hamjui kutofautisha niwatofautishie nyie mmezidiUsiseme vibanio sema slim fit ...ukisema vibanio unatukosea heshima
Nawewe upo 3G waleo wenzako wapo 4G.Haifai kabisa ni sawa na mimi nivae suruali na mwanamke avae suruali nani mwanaume hapo sasa.
Kweli mnatuabisha mpaka mali zetu zinaonekana mnamuonyesha nani?Maofisini muache hizo tabia mbaya
Kweli hujakosea asilimia kubwa ila nimeona baadhi huko hadi mtu hakai kwa amani anaonyesha sio wa arusha kahamia kikaziSidhani kama mikoani utawakuta hao. Mikoani tunavaa kama wanaume waimba kwaya unavyowaona.
Vibanio gani mkuu
Shida ni pale slim fit inapovaliwa na bonge hata kama ni fashion huwa kituko 😀.Wenzako wanapenda vinaitwa slim fit na sio vibanio, wewe kama hupendi ni wewe, hata sisi hatupendi mawigi yenu yanakera na fake hair zenu kama mizimwi
Kila styl e na wakati wake, kwa sasa naona kama viwanda vimeekeleza huko ushonaji wao wa suruali. Hayo ni mabadiliko ya kawaida katika maisha, wazee wetu wanasema kulikuwa na kitu inaitwa pekoz, raizon na afro ambavyo kwa sasa tunziona kwenye picha za black and white.Mimi na natural hair nazimefika mgongoni.
So mawigs ni kumaliza hela dawa nikuleta magonjwa ya ngozi so najipenda nakujitunza .
Acheni kuvaa vibanio kwa afya zenu.
Kwanza zinaleta fungus vibanio.
Mbili zinaleta ugonjwa wakuzimia kabisa kwa maana hupati hewa yakutosha.
Tatu unaonekana huyu mkaka niaje.
Ila ukivaa wastani suruali ikakukaa vizuri hata wanawake wakuoa watajitokeza ila kwa sasa watatokea ambao hawajitambui why kwaajili ya uvaaji watu serious hawataki watu vibanio wanataka wanaovaa kiheshima.
Kama umeoa badilika kama unataka kuoa vaa vizuri jamani.
Nimeona nimezimia hadi amuhemi.
Awezi hata kusimama asubirie haisi nini??
Tatizo mnakopi vibaya wenzenu hawajiui kama nyie so jaribuni kuiga vizuri yaani hadi hamtembei kwa raha.
Mali gan nmebeba yako???Kweli mnatuabisha mpaka mali zetu zinaonekana mnamuonyesha nani?
Wanawake wana Mali zetu na Sisi tuna zao.Mali gan nmebeba yako???