Habari wadau,
hii ni kwa wale wanaume walioserious tu kama hauko serious tafadhari usijibu hii post.
natafuta rafiki wa kiume ambae baadae mambo yakienda sawa aje awe mume pia.ningependelea rafiki mwenye umri wa kuanzia miaka 35-40.pia awe na elimu angalau degree moja na apende kusali na mwenye heshima.sina ubaguzi wa kabila.
kama uko serious tafadhali ni inbox tufanye mawasiliano.
karibuni sana.