Kwa wanaume waliooa tu, mlifanyaje hadi mkaoa?

Kwa wanaume waliooa tu, mlifanyaje hadi mkaoa?

Muda wako ukifika utaelewa tu.
Kwakweli,ndo maana wengine wanaoa wakiwa na miaka 45 sababu muda wote too iliopita aliona bado so muda ukifika mwenye we unajikuta unataka kuoa
 
Back
Top Bottom