kwa wanaume walio oa (kina baba flani)

usimweleze mkewe utampa presha bure mweleze huyo janaume kavukavu na akome kumsumbua mwana wa mwenzie
 
Aghh! That is called NYUMBA NDOGO BANK. Mwendo wa kutoa tu hutoweka katu. Sema labda una akaunt sehem nyingine. Huwezi mleta huku, hatojua nasie hatutajua. We malizana nae tu huko huko.
 

We hebu acha urongo.
Mbona mie nakupata kwenye simu na namba ni hii hii tangu tujuane.
OTIS
 
Siku si nyingi utakuja kuanzisha hoja hapa hapa kuwa unampenda mume wa mtu, unahitaji ushauri ! Be careful,maana waume za watu ukishawaonja hautakuja kuwaacha...!!!
 
tunaheshimu sana ndoa zetu tatizo lenu mnavaa kikahaba sana!
Duka lolote lililo wazi wateja wataingia tuu!
 

ha ha ha ha Smile unanifanya nismile 4 sure
 
Last edited by a moderator:

smile,inakuwa rahisi kiasi hicho cha kupoteza namba za watu uliokuwa nao kwa sababu ya mtu mmoja?!isitoshe hukumpatia muda wa kumsikiliza huenda alikuwa na hoja ya msingi!!huwezi jua yawezakuwa ni muislam hivyo alikuwa anataka kutimiza suna ya mtume ya kuwa na wake wengi!!defeat a person by counter arguments not running from him or !!na kama akiipata tena hiyo namba utabadili!!!

na kama mtu akija kutaka kukaa meza ulipo wewe maana yake anakuja kuku-disturb wewe,that is unsimple truth!yaweza kuwa ulipo wewe (meza hiyo) ipo sehemu ambayo anaweza kuona wanaoingia hivyo amuone kwa urahisi mgeni wake!!....
 
Wakati mwingine mtu anaweza kujisifia kwamba mume wa mtu anamtaka, anamsumbua ili aonekane yeye ni bomba au mzuri mwenye mzuto wa kufa mtu, kumbe sio lolote wala nini ni kujitafutia maujiko ya uongo tu. Unaweza kuta mtu mwenyewe hana mvuto wowote wala chochote cha kujidai kiasi hicho miguu ya kushoto yote, hips za mchina. Wanawake ni wengi sana na wazuri wako wengi kuliko kawaida tuache kujidai bila sababu. Kama humtaki huyo baba kwanini ukampa namba yako ungempa mke wake. Ukome kutoa namba za simu kwa waume wa wenzio bila wakezao kujua tafuta wa kwako.
 
Kwa sura hiyo na shape yako ilivyo ya utata, hata mimi uzalendo ungenishinda. Muumba kafanya kazi yake kisawasawa.
 
Jamani Smile.........Yaani jambo dogo tu hilo............umekuja kunianika humu, nilikuwa na nia ya kudumisha ujirani mwema na kama ulikuwa hupendi, basi ungeniambia mimi mwenyewe kuliko kunianika hapa JF.................LOL
 
wewe smile mbona ambao umewakubali hujatuletea humu tukawafahamu, acha hizo zako wewe, yawezekana kuna kitu hapo....
 
Usibadilishe namba wala nyumba usihame....kuwa na msimamo,utaeleweka na kuheshimika tu...mpaka unapumzika wataendelea kukutongoza tu hata wenye wake wanne....ndo maana Mungu alitupa uwezo wa kuamua na kuyasimamia yale tunayoamini kuwa ni sahihi....tumia mdomo wako vizuri....mwaka 2012 chaguo lako SMILE chagua kusema ukweli unaouamini na kutokimbia kimbia kwa kero ndogo ndogo!
 
Reactions: BAK

Wewe subiri tu atakuvizia unaenda kuoga si bafu lenu lipo nje kidogo na nyumba yenu na pale pembeni kuna tundu atakuchungulia atakula kwa macho.Hakika nakwambia ....AU alishakula kwa macho sasa anataka LIVE nyama kwa nyama.
 

Nakufaga sana moyo kwa totoz zenye misimamo hii. Infact ningekuwa bado nina nguvu ningekufanya ubadili tena namba.
 
Nafikiri ni swala la mentality na tabia ya mtu mmoja mmoja. Japo umegeneralize, lakini inategemea na huyo mtu anavyokutazama. Akiona ni mtu ambaye una msimamo hawezi kurudia tena. By the way hii ipo all sides pia. Mimi binafsi nakupa pongezi kwa msimamo uliouonyesha, big up.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…