starspoint21
Member
- Nov 18, 2017
- 33
- 12
Ni aina ya dharau
Sasa wewe umewaamulia.
Na hao 5% walio sawa nusu yake ni vidole juu.Wanaume 100% WA dar 75% wanatumia Viagra na viongeza nguvu za kiume,20% hAta Viagra haiwasaidi tena,5% wakosawa
hahahahaNa hao 5% walio sawa nusu yake ni vidole juu.
Sijamaliza ila pia nisingepende kuuendelea zaidi ya hapo. Unalolote mkuu!??Wanaume wa dar ndio umemaliza Uzi hapo
Leo nna ya tende karibu sana miss JolieMleta mada we umeshakamuliwa juice ya muwa?
Itakuwa anaenda kuchapa wale wanawake wanao jiuza.Ukiona kidume kimeshuka ubungo jua kuna wanaume maboya 15 wadar wanaenda chapiwa .nguvu za kiume.
Kwa uchambuzi huu namuona kabisa huyu yupo kwenye hii 20% anaugulia.Na hao 5% walio sawa nusu yake ni vidole juu.