Kwa wanaume wa Dodoma tu!

Kigezo kimoja umekiacha dada,CHA KWENDA ANGAZA!!!! au hutojali?????
 
Tulioishia lasaba tukae kimya hii haituhusu
 
Mimi siamini katika wapenz wa kukutana mitandaoni, umesema ni christian committed huko kanisan hakuna mwanaume amekuvutia huko ukamvuta pembeni mkaongea, je kazini kwako hamna hata aliyekuvutiaa mtaani je au hawana bachelor na unaamini huku ndo kuna wengi wamepata bachelor? Anyway kama umeona hii ndo njia sahihi kila raheli ila kuwa makin
 
we dada sasa mambo yamekukaba.Inaonyesha awali kuolewa uliona si jambo la msingi.Ni wewe huyu huyu uliyewahi omba ushauri humu jukwaani kwamba una uhusiano na mtu ambaye yupo masafa na hamjatambulishana sijui kwa wazazi au wapi,.z.Sina uhakika wadau kama walikushauri uachane naye sasa ili utafute mliye mkabala nose to
 
Pole sana dada! Mwenyewe nimesoma comments za baadhi ya wanaume nikawa very disappointed na attitudes walizo nazo! Nimewaza tuna jamii ya aina gani! Kama huwezi kuwa mwema kwa usiyemjua usitegemee kuwa mwema kwa unayemjua. People have the right to choose their way of life and we should stop our prejudice to people we know nothing about their paths! What's wrong with our people for really? Na utakuta baadhi yao hata wana degree au zaidi. If education couldn't help us see things differently then what else could be done? And they call themselves great thinkers! Great thinkers on what? Shameful[emoji85] ! I doubt if they could make good husbands either!
 
Sijasema lazima awe na bachelor my brother, nimesema ni vyema akawa nayo, hiko ndio kilichokukea? mbona bachelor sio kitu cha ajabu nowdays!
Hizo ni dalili za inferiority complex my friend! Yaan wenye sifa zakuwa waume wamekuwa wachache sana despite we are having many being called men! Wazazi wenye watoto wakiume hebu jitahidini ku instill self esteem yakutosha kwa watoto wenu ili vizazi vinavyofatia vya mabinti wapate wanaume wenye sifa zakuwa waume.
 
Kuna kanisa maeneo ya Area C
Nenda pale,jichanganye na vijana wa kanisa
Haja yako mfahamishe Mchungaji
Basi na Mungu atakupa haja ya moyo wako
Sema AMEN
 
mdogo wangu kuna sehemu jaribu kurekebisha utapata mume bora, mara nyingi mwanaume anahitaji mwanamke mwenye kuweka familia mbele kuliko kazi hasa pale anapokuwa na uwezo wa kutengeneza mazingira mazuri ya hyo familia yenu kwa ujumla, isipokuwa pale atakaporidhia ufanye hyo kazi, ni kitu muhimu sana kwenye ndoa.
 
kumbe kuanzisha familia kunahitaji atleast bachelor degree
 
0766092952 na 0656702505
 

Attachments

  • ndoa yako pic.jpg
    19.1 KB · Views: 71
ushaur wako nimzur san ilatu kuna vipengele haviko sawa.kusema asitafte aombetu na kufunga hilo sio kweli.nikweli kua yupo wake alopangiwa tayar na mungu toka amezaliwa ila pia nilazma kumtafta nawakat huo akimuomba mungu sio kila kitu unaweza kuomba kikajatu vingine nilazma jitihada ziwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…