Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Kwahiyo hata bikra dada yangu haipo!? Haya ngoja waje hasa Falcon Mombasa na Mshana maana ndo wadau wakubwa wa hizi fursa.Sorry, kama kuna mtu amekwaza sijamdharau mtu na baona watu wamenishambulia buree sijaona kosa langu, yes am older now badala ya kunishambulia kwanini usiulize inawezekana kuna mambo yamesababisha,and not all women wanaolewa na hiyo miaka 24-27,naona watu wanatukana sio hivyo mnavyofikiria wala mi sio mtu wa maringo, najitambua but sometimes kuna vitu vinatokea katika maisha hujui kwanini ila ndio vinakuwa vimekupata hivyo u need to accept, nilipokuwa chuo mwanaume niliyekuwa na uhusiano nae alimpa mimba msichana wa hapohapo nikawa nashuhudia wanalea mimba hadi wanazaa infront of my eyes and he was my first guy ! niliumia mungu alinisaidia nikamaliza kwa kufaulu but nikaamua tu kuwa mbali na wanaume! ,nimepata kazi that guy kaachana na yule dada anataka kuja kwangu nikakataa, nikapata uhusiano na mwanaume anakaa mwanza ndoa ya mbali tena mwanzoni nimeona hapana nahitaji wa hapa hata kama baadae tukiseparate but at least mwanzoni tuishi wote! Sijaelewa kwanini wanaume wameanza kutukana!
teh teh teh aise mdau ndiyo maana wanasema mchagua nazi uambulia koroma vigezo vingi utadhani anatangaza nafasi ya kazi aise duuuuuuHivi huko mtaan anaanzaje kumtongoza me, na akimkatalia aibu ataiweka wapi , na walioko mtaan hawana vigezo anavyotaka au kagua mtaan kwako ni wangapi unaowafaham wenye vigezo alivosema.jaman Aachen awa Dada wanawakati mgumu sana Sena tu wanavumilia wangekuwa me wangebaka kila siku
Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.
Kaachwa mtu hapa
Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.
Kila la kheri. Mimi namit vigezo vyako, ila tatizo mimi ni mwanaume wa Dar...
Haitaji mume anahitaji bachelorMim nipo dodoma, kipato changu kwa mwez ni 2mil. Lakin sina bachelor naomba ni pm
Mkuu, si ndio maana nimeamua kujitoa? Kama ingekuwa ni mtihani ningekuwa nimepata 90/100. So hiyo ten ndio imenifanya nikae pembeni nacho ni kigezo cha kuishi Dom...Sasa unakidhi vipi???
Sio vizuri kaka,ukiwaza hayo wala hutaoa maana hii practize hata wewe unaifanya/umeifanya!!!waachieni wanaotafuta wenza jamaniHahahhahaha mkute mdada wa hivi akiwa 18-25..... Hizo nyodo zake lazima ukae, yaani hapo ujana wote kaumaliza kila size kaiona, kila style kacheza na uwezekano mkubwa ni MTERA