Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,044
- 5,920
Dada, unawaza vizuri sana, Mungu akufanikishe.Sorry, kama kuna mtu amekwaza sijamdharau mtu na baona watu wamenishambulia buree sijaona kosa langu, yes am older now badala ya kunishambulia kwanini usiulize inawezekana kuna mambo yamesababisha,and not all women wanaolewa na hiyo miaka 24-27,naona watu wanatukana sio hivyo mnavyofikiria wala mi sio mtu wa maringo, najitambua but sometimes kuna vitu vinatokea katika maisha hujui kwanini ila ndio vinakuwa vimekupata hivyo u need to accept, nilipokuwa chuo mwanaume niliyekuwa na uhusiano nae alimpa mimba msichana wa hapohapo nikawa nashuhudia wanalea mimba hadi wanazaa infront of my eyes and he was my first guy ! niliumia mungu alinisaidia nikamaliza kwa kufaulu but nikaamua tu kuwa mbali na wanaume! ,nimepata kazi that guy kaachana na yule dada anataka kuja kwangu nikakataa, nikapata uhusiano na mwanaume anakaa mwanza ndoa ya mbali tena mwanzoni nimeona hapana nahitaji wa hapa hata kama baadae tukiseparate but at least mwanzoni tuishi wote! Sijaelewa kwanini wanaume wameanza kutukana!
Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.
Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.
Bro, unam-criticise kwa kutafuta mwenza JF, mbona wewe umo JF? Naamini hata wewe umejuana na watu wengi kupitia JF. Kwa taarifa tu ni kuwa hakuna formula kwenye haya mambo.aise dunia haiwezi kwisha maajabu yani unatafuta mwanaume kupitia JF utadhani huko unapoishi wanaume wamekwisha kuwa makini aise husijekupotea
Thanx !Wala haukuhitaji kujieleza..Humu wajuaji wengi..Ukimsikiliza kila mtu utapasuka kichwa..Stick to your mission..Cha msingi kuwa makini..Mitandaoni wazinguaji wengi...Kila la kheri..
Nitext kwenye namba 0752537281Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.
dodomatu alafu umewabania namna hiyo utawapata kweli?mh sijui labda dodoma ke ni wachache kuliko wanaumeMimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.
aise dunia haiwezi kwisha maajabu yani unatafuta mwanaume kupitia JF utadhani huko unapoishi wanaume wamekwisha kuwa makini aise husijekupotea
tatizo na wao wanaeka vigezo lukuki hata maofisin ingekua wanaeka vigezo vya kupata wafanyakazi kama hawa wanaotafta wachumba humu wote tungeishia kuuza sigara na karanga mtaani au kuchimba mashimo ya vyoo.mtu anataka mume lakin vigezo mara awe mweupe awe na diploma nk.hivi vyote kwenye ndoa vinahusikaje?maisha ya ndoa sio filam za kibongoHivi huko mtaan anaanzaje kumtongoza me, na akimkatalia aibu ataiweka wapi , na walioko mtaan hawana vigezo anavyotaka au kagua mtaan kwako ni wangapi unaowafaham wenye vigezo alivosema.jaman Aachen awa Dada wanawakati mgumu sana Sena tu wanavumilia wangekuwa me wangebaka kila siku
Pole mamy wachukulie kama walivyo saa zote vichwa vyao vya chini ndio vinaongea kwenye swala la mahusiano wasamee bure dear...utapata tu mwanaume wakò aliyekupangia Mungu but kwa mimi ninavyoamini kila kitu kinaenda na maombi...wala usitafute funga omba atakuja mwenyewe mpenzi usitafute kabisa muombe Mungu tuuu sikio lake sio zitoSorry, kama kuna mtu amekwaza sijamdharau mtu na baona watu wamenishambulia buree sijaona kosa langu, yes am older now badala ya kunishambulia kwanini usiulize inawezekana kuna mambo yamesababisha,and not all women wanaolewa na hiyo miaka 24-27,naona watu wanatukana sio hivyo mnavyofikiria wala mi sio mtu wa maringo, najitambua but sometimes kuna vitu vinatokea katika maisha hujui kwanini ila ndio vinakuwa vimekupata hivyo u need to accept, nilipokuwa chuo mwanaume niliyekuwa na uhusiano nae alimpa mimba msichana wa hapohapo nikawa nashuhudia wanalea mimba hadi wanazaa infront of my eyes and he was my first guy ! niliumia mungu alinisaidia nikamaliza kwa kufaulu but nikaamua tu kuwa mbali na wanaume! ,nimepata kazi that guy kaachana na yule dada anataka kuja kwangu nikakataa, nikapata uhusiano na mwanaume anakaa mwanza ndoa ya mbali tena mwanzoni nimeona hapana nahitaji wa hapa hata kama baadae tukiseparate but at least mwanzoni tuishi wote! Sijaelewa kwanini wanaume wameanza kutukana!
Ngoja nikuunganishe na huyu ndg yangu, toka mwaka jana anatafuta mke mpaka leo ananiambia hajapata na kumbe wewe upo huku..?!Thanx !