overblessing
Member
- Apr 2, 2016
- 18
- 40
nyundo 29 unajiita Dada? serious watake radhi wenzako aiseeMimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.
nyundo 29 unajiita Dada? serious watake radhi wenzako aisee
nimecheka sana 29 yrs mtu ajiita Dada? aah jamani kwa hiyo 18-24 hivi waitwaje?Wakiwa age ya kuolewa 23-27 huwa wanaringa balaa ila wakifika 29- wanaanza kulazimisha ndoajichanganye hapo uone huyu sahiz mbibi utaambiwa kama mahari huna ntakuongezea baby
nyundo 29 unajiita Dada? serious watake radhi wenzako aisee
kwani wewe unaona sahihi mtu yuko late 20s kujiita Dada?Haya mambo yenu mtaacha lini? Kwani mdada ni nani kwa taarifa ulizonazo mwenzetu?
Daaaa uwe mstaarabu mkuu hao watu kuringa ndio asili yao tumeambiwa tuishi nao kwa akiliHahahhahaha mkute mdada wa hivi akiwa 18-25..... Hizo nyodo zake lazima ukae, yaani hapo ujana wote kaumaliza kila size kaiona, kila style kacheza na uwezekano mkubwa ni MTERA
Haya mambo yenu mtaacha lini? Kwani mdada ni nani kwa taarifa ulizonazo mwenzetu?
sijasema lazima awe nayo nimesema ni vyema awe nayo! hiko ndio kimekukera? mbona bachelor kawaida sana nowdays!Usha zeeka harafu unafanya choice ya wanaume kwenye degree cyo tabia ?we we utadoda be care na hizo criteria zako
aise dunia haiwezi kwisha maajabu yani unatafuta mwanaume kupitia JF utadhani huko unapoishi wanaume wamekwisha kuwa makini aise husijekupoteasijasema lazima awe nayo nimesema ni vyema awe nayo! hiko ndio kimekukera? mbona bachelor kawaida sana nowdays!
Wala haukuhitaji kujieleza..Humu wajuaji wengi..Ukimsikiliza kila mtu utapasuka kichwa..Stick to your mission..Cha msingi kuwa makini..Mitandaoni wazinguaji wengi...Kila la kheri..Sorry, kama kuna mtu amekwaza sijamdharau mtu na baona watu wamenishambulia buree sijaona kosa langu, yes am older now badala ya kunishambulia kwanini usiulize inawezekana kuna mambo yamesababisha,and not all women wanaolewa na hiyo miaka 24-27,naona watu wanatukana sio hivyo mnavyofikiria wala mi sio mtu wa maringo, najitambua but sometimes kuna vitu vinatokea katika maisha hujui kwanini ila ndio vinakuwa vimekupata hivyo u need to accept, nilipokuwa chuo mwanaume niliyekuwa na uhusiano nae alimpa mimba msichana wa hapohapo nikawa nashuhudia wanalea mimba hadi wanazaa infront of my eyes and he was my first guy ! niliumia mungu alinisaidia nikamaliza kwa kufaulu but nikaamua tu kuwa mbali na wanaume! ,nimepata kazi that guy kaachana na yule dada anataka kuja kwangu nikakataa, nikapata uhusiano na mwanaume anakaa mwanza ndoa ya mbali tena mwanzoni nimeona hapana nahitaji wa hapa hata kama baadae tukiseparate but at least mwanzoni tuishi wote! Sijaelewa kwanini wanaume wameanza kutukana!