Kwa wanaume: Usithubutu kumsomesha mke, mchumba, mpenzi

Kwa wanaume: Usithubutu kumsomesha mke, mchumba, mpenzi

Dah... Tatizo niko busy na ... "HAPA KAZI TU".
 
Dah... Tatizo niko busy na ... "HAPA KAZI TU".
misungwi.jpg

hapa kazi tuuu
 
Tumekusikia ila ndio hawaachi kutusomeshaaa ng'ooooooo
 
Mimi binafsi nilishawahi kuonywa na baba yangu akaniambia wanao fanikiwa kuoa walio wasomesha ni mmoja kati ya Elfu moja. Hiyo kitu sitakaa niifanye kabisa.
 
Baby wangu popote ulipo, ucckilize maneno yao hawa watu. Nisomeshe tu, nakupenda mnoooooo, kwa wengne siendi ng'ooooooo
 
Mkuu unatuharibia bwana. Wacha watusomeshe. Sisi tutasomeshwa tu chezea msingi kiuno. Honey nataka kuchukua masters huku unaongelea puani. Hachomoi.

Wewe ni ndugu yake cute b
 
Last edited by a moderator:
Sio kwa wanaume tu...Mimi imenitokea nimemsomesha mwanaume Masters alipomaliza huyo akasepa zake..kaenda kwa wengine...both genders ni tatizo hilo..unajitoa kumsaidia mtu ukijua kuna future kumbe mwenzako Ana lake moyoni
sisomeshwi na demu hata kwa dawa! Kwanza huyo jamaa itakuwa medulla oblongata ina something gas...pfuuuuu
 
Kuna UKWELI Fulani katika thread Mimi nimeshuhudia case NNE za aina hii tatu wanaume wamesomesha wake baadaye mwanamke anabadilika na moja kinyume chake.
 
Back
Top Bottom