Kwa wanaume: Usithubutu kumsomesha mke, mchumba, mpenzi

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,312
Reaction score
55,971
Kusomesha ni jukumu la mzazi, sio mume, mchumba au boyfriend. Kozi pekee wanayotakiwa kusomeshwa hawa wenzetu ni cookery (mapishi), driving kwa ajili ya kuendesha lile gari la mkopo apeleke watoto shule na kuendea sokoni na sayansi kimu tu, zingine unajitafutia presha.

Wengi wamelizwa huko vyouni, wanakutana na watu wa kila aina kuanzia serengeti boys mpaka veterans wa mapenzi wenye hela zao, wengine ndio dharau zinaanzia hapo na ndoa au penzi kuisha.

Mwenye masikio na asikie
 
Ahhh!!! Na wewe kutoa ni moyo usembe ni utajiri, wacha wasomeshe tu wanasaidia kuondoa moja ya maradhi yanayotukumba nchi hii ambayo ni maradhi, ujinga na umaskini. Wewe huoni unaweza kuwa umeyaondoa yote kwa wakati Mmoja kwa kumpatia mwenzio Elimu, utabariwa duniani mpaka mbinguni.
 
everlenk sijakuona kitambo sana aisee. Nimeku-miss si uongo. Za Uholanzi*clears throat*?

Hahhhahah best haya bana nami nimekumiss zaidi acha tu, Uholanzi wamenikwapua kila kitu ile nchi siyo kabisa wanataka kuvunja matumaini yangu ya kubeba ndoo Ngoja waje nyumbani nitawafundisha adabu hahahahah.....Hongera bana naona mambo yako si haba kijana wangu anakufanyia kazi nzuri sana
 
Insecurities tu. Kama anastahili kwenda shule na uwezo, mpeleke shule. Kama unastahili kuwa nae, utakuwa naye tu, hata wapinzani wawe kina nani.
mkuu naongea kwa uzoefu labda kwa kuongezea QT ila sio vyuo vya maana maana wengi wanakuwa akili zimeshadumaa anajirahisisha kwa walimu na wanafunzi wenye akili ili afaulu, enzi nasoma nimekula sana hela za mama mmoja mke wa kigogo fulani akaona haitoshi akanitunuku na penzi,sio mimi tu wengi iliwatokea
 
Ahhh!!! Na wewe kutoa ni moyo usembe ni utajiri, wacha wasomeshe tu wanasaidia kuondoa moja ya maradhi yanayotukumba nchi hii ambayo ni maradhi, ujinga na umaskini. Wewe huoni unaweza kuwa umeyaondoa yote kwa wakati Mmoja kwa kumpatia mwenzio Elimu, utabariwa duniani mpaka mbinguni.
kama ni mapishi hata phd nitakusomesha haina shida
 
Hahhhahah best haya bana nami nimekumiss zaidi acha tu, Uholanzi wamenikwapua kila kitu ile nchi siyo kabisa wanataka kuvunja matumaini yangu ya kubeba ndoo Ngoja waje nyumbani nitawafundisha adabu hahahahah.....Hongera bana naona mambo yako si haba kijana wangu anakufanyia kazi nzuri sana

Hahaha. Kwa kweli nashukuru sana. Kazi unayoifanya ya ku-baby sit vijana wangu wa baadaye si ndogo. Uendelee kubarikiwa.
 
kama ni mapishi hata phd nitakusomesha haina shida

Aisee kumbe unatoa unategemea kurudishiwa? Usifanye hivyo katika maisha yako utateseka sana na utagombana na wengi, kama ipo ipo tu, tenda wema nenda zako usingoje shukrani.........
BTW hata hayo mapishi ukimpatia unafikiri utapikiwa wewe na Kula wewe utasubiri saaaaanaaaaaa.........
 
If God has given you beauty without brains your private parts suffers the most - by Robert Mugabe
 
mkuu naongea kwa uzoefu labda kwa kuongezea QT ila sio vyuo vya maana maana wengi wanakuwa akili zimeshadumaa anajirahisisha kwa walimu na wanafunzi wenye akili ili afaulu, enzi nasoma nimekula sana hela za mama mmoja mke wa kigogo fulani akaona haitoshi akanitunuku na penzi,sio mimi tu wengi iliwatokea

Ndio maana nikasema kama anastahili kusoma. Mwanamke kama si muaminifu, si muaminifu tu. Umpeleke shule, usimpeleke, atatafuta namna ya kutimiza haja zake popote, kivyovyote. Cha muhimu, tafuta anayetambua thamani yake.
 
Aisee kumbe unatoa unategemea kurudishiwa? Usifanye hivyo katika maisha yako utateseka sana na utagombana na wengi, kama ipo ipo tu, tenda wema nenda zako usingoje shukrani.........
BTW hata hayo mapishi ukimpatia unafikiri utapikiwa wewe na Kula wewe utasubiri saaaaanaaaaaa.........
hata asiponipikia mimi poa na akafungue mgahawa wake
 
Umenena vyema kwa mtu aliyepitia chuo hawez na hataman mpenz wake asome au kumsomesha
 
Back
Top Bottom