Kwa Wanaume tuuuu!

nimesoma thread hii then nikaa nikatafakariiiiiii....nikarudisha akili nyumaaa......yaani kama Mungu anaamua kufanya hii kitu ni halali yangu kuwa flat
 

Ikifanyika na kwa wanawake basi na uzazi utakwisha maana hamna atakaye baki...
 
kile kitendea kazi kipo ili kitumike. lakini kitumike kwa misingi fulani. nafikiri hata wewe ungekuwa na hali mbaya
 
Du hatari kila mmoja angesikitika wake kwa waume, kwa sababu wangebakia jinsia moja tu ya kike wengine wote wanakuwa hawana jinsia na uzazi ungekomea hapo, mimi nafikiri hata kina mama wangechukia mwishoni, kwa sababu wanaweza fiki hiyo adhabu haiwahusu wanaume ambao wana mahusiano nao lakini mwisho wa siku wangekuja kujua baada ya kuona wenza wao wameadhibiwa na hiyo adhabu yaaani kitendea kazi hakipo.
 

Kama ingekua hivi, Tungeshakubaliana na Agizo la waziri mkuu wa uingereza muda mrefu sana!
 
Labda tujiulize tu swali la msingi. In average ndani ya mwaka mmoja mwanaume anatembea na wanawake wangapi? Included na one night stand. Ukishapata jibu ndio utajua wanaume ni akina nani!
 
Reactions: SMU
Kwanza uliwaza nini kiasi ukaanza kufanya imagination hizo??Embu tuanzie kwako wewe ungekuwa vipi!!!!nahisi badala ya kuwa flat itakuwa imetengeneza depression au kashimo hivi!!!!

we jibu swali kaka, then ndo uniulize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…