Kwa wanaume tu

Hapo mpaka unakufa hujafika hata robo ya kitabu na isitoshe ukitatua moja inaletwa mbinu mpya
 
natumai font ni 500....la sivyo..they will never be understood...
 
Bora kuanza kusoma page ya mwisho labda ina afadhali, ukianza ya kwanza mpka ufike mwisho utakuta maarifa yameongezeka.
 
Hiyo itakuwa bibilia ya agano la kale na agano jipya na toleo la tatu
 
Kwa bahati mbaya nimeambiwa nakala zote watu wameshaziwahi pande zote nilizoenda kuulizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…