Kwa wanaume tu.....!

Supervisor

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
559
Reaction score
208
Unataka kusafiri kikazi, wakati unapaki vitu vya kuondoka navyo mke wako kwa upole anakuambia "mme wangu chukua hizi condom incase vikitokea vishawishi zitakusaidia na wewe unazipokea... Wakati unaondoka unataka kupanda gari unaona mkeo anakukimbilia anakuambia.."mme wangu samahani naomba condom kidogo incase nikizidiwa na vishawishi zitanisaidia...".! Vipi kidume utatoa?
 
mhm...wacheni kudanganyana hapa....highly unlikely mwanandoa akicheat atatumia condom. chezea utamu orijino nini wewe...ndom utaona upuuzi tuu
 
Huyo siyo mke tena ni balaaa na laaaana...........................!:bowl:
 

Absolute nonsense.
 

Mtaani tunahiita, ngoma drooo au 50% 50%
 
Nitamwambia wee piga tu kavukavu, usijinyime uhondo, I love you darling
 
Hiyo ni kali ya mwaka. Mimi nitaahirisha safari.
 

this is too hypothetical, kwani hawezi kwenda kununua? Au mleta vishawishi kwa mke si anaweza kwenda nazo?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…