Kwa wanaume tu

Jack Dorsey mwanzilishi wa twitter na wengi tu wamefanikiwa bila kuoa wengine wameoa baada ya kutengeneza mkwanja mrefu tu.
mkuu usibishe nitajie hata mtu1tu aliefanikiwa sana kimaisha ambaye yupo single! Nais jibu ni hakuna![emoji441][emoji350][emoji350]vijana tuoe maisha ni haya haya
 
Yap halafu mafanikio makubwa ya kiuchumi kwa sasa utayapata through entrepreneurship na asikwambie mtu inahitaji imani kubwa sana kujiamini kwamba unachokifanya hata kama hakina faida kwa sasa kitatengeneza faida hapo baadae na changamoto unazokutana nazo mpaka kufikia hayo mafanikio ni heavyweight.

Hivyo basi ni ngumu kupata mwenza wa kushiriki naye katika safari ya entrepreneurship.
 
Kwa ambacho nimekiobserve vijana wana aina ya wanawake ambao wanawavutia na ndio wanaowasisimua katika kutafuta.

Unajua ili mwanaume aweze kuwa na ari ya kutafuta lazima awe na mwanamke anaemkubali, anaempenda kwa dhati na atakaekuwa tayari kujitoa ili ampe maisha mazuri.

Na huyu mwanamke anabidi awe smart enough kumpa motisha huyu kijana ya kutafuta at young age. Shida ni moja vibinti vya siku hizi vimeshakuwa poisoned na material things za maisha.

Kabinti ka miaka kati ya 17 hadi 25 vinakuwa na tamaa sana ya maisha kamili. Katataka kapewe simu ya bei, kijana awe na gari, awe na hela za kuchezea awe amepanga nyumba ya gharama yenye kila kitu ndani ndipo katakubali kuanza nae life.

Sasa vijana wa siku hizi hawa kufanya maendeleo ya hivyo pekee yake huwa ni changamoto na hata akifanya basi huwa baadae anakuwa mzito kutulia na mwanamke m'moja maana wengi wanakuwa wamepanga msururu kumfuata wakimtaka.
 
mkuu usibishe nitajie hata mtu1tu aliefanikiwa sana kimaisha ambaye yupo single! Nais jibu ni hakuna![emoji441][emoji350][emoji350]vijana tuoe maisha ni haya haya
Diamond umemuoza dada yako au?!
 
Hapo umelenga mlemle,mabinti nao wanataka waolewe mahali ambapo kuna kila kitu,gari nyumba,pesa nk,kitu ambacho sio rahisi kukipata kwa vijana wengi,maana wengi ndio wanaanza maisha ,ndio maana sasa kwa tamaa zao wengi wanavizia kutembea na waume za watu ambao ni watu wazima wameshatafuta ili tu wapate wanachohitaji,wakishtuka mda umeenda wanaanza kukesha kwenye maombi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…