Kakananii,
Chunga sana fikra zako za masuala ya ngono, aidha umri wako una kuruhusu, yaani upo katika u"teen" na hujazidi miaka 25. Au unaathari za kisaikolojia zinazoweza kukuingiza katika moja ya haya matatu:
1) Mfadhaiko.
2) "Premature ejaculation".
3) "sex maniac".
Huu ni ushauri wa bure.