Ila kwenye men's hard talk lazima awepo mwanamke mkongwe ili akawafundishe wasichana alicho experienceHahaaaaa
Nilitumia jicho la mwewe kuona mbaliHongera kwako na kwake pia mama vivian lait ungemdanganya kwa ahadi hewa ungemsikia kwenye bomba aisee
Umeonaee! Naona wameogopa kichwa cha habari.Ila kwenye men's hard talk lazima awepo mwanamke mkongwe ili akawafundishe wasichana alicho experience
Ha ha haUmeonaee! Naona wameogopa kichwa cha habari.
Anaona raha madume tunavyomfata pm kumtongoza uyu..... dp miguu ya mwanamke jina kike du!!..... awa ndo walewaleNaona umeamua kutimia hadi username yake.
Mungu awabariki aiseeNilitumia jicho la mwewe kuona mbali
AmeinMungu awabariki aisee
Nina imani anajipanga akija amekuja ili ajue namna ya kuzuia mashambuliziNimemkaribisha kiumeni kaogopa
HahahaaaEmy my wewe unajua mbinu zilizokuwa zinatumiwa na waliotangulia?
Ila wewe sio lazima kujua. Uongo?
Si mpaka awe nayo usawa wenyewe huu ajiandae tu ambacho hajakitarajiaSolution atafute tu hio zawadi ya 150k, na akishatoa hio zawadi ajue kibuti juu.
HahahaaaaaKuna watu wanatoa mapovu humu,sijui jinsia gani?
Ndio ataweza kula kiraisi kabisa, kwasababu yeye atataka kujua ni zawadi gani ambayo ameandaliwa Sasa hiyo nafasi ya kuja kuiona hiyo zawadi unamlengesha Getto directly mpaka ndaniInabidi atafute uongo mwingine na sio rahisi kama mpaka kadanganya ndio kapigiwa simu unadhani atakula kirahisi.
umenikumbusha mbali sanaUkiwa mkweli asilimia 200 utateseka sana... mara zingine lazima ufanye kitu kinachoitwa "True Lies"
Ndio maana silaha zinazidi kutengenezwa na kuboreshwa kila uchwaoAiseeeee.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Kweli binadamu ni kiumbe hatari sana, hasa kwa binadamu mwenzie
Mimi Sintofaidika na chochote ila kumbuka kuna maisha mengine Baada ya huu uhai uliokuwa nao leo.Kwani nikikudanganya utafaidika nini?