hiyo list ya wanaume???kichecheeeeeeeMwenzenu nimekaa na kutathimini historia ya mapenzi yangu tangu nilivyoanza mahusiano ya kimapenzi, nikagundua kuwa wanaume ambo niliwapenda sana hatukuweza kudumu kwa mda mrefu, ila ambao sikuwapenda ile kiukweli ndo niliodumu nao sana na mimi ndo nilikuwa nawaacha kwa sababu sikuweza kujilazimisha kuwa nao wakati siwapendi, nikawa najiuliza maswali mengi kwa nini mwanaume ninaempenda sana ananiacha, sikupa jibu sahihi baadae nikaamua kuanza kusoma tabia za wanaume wawapo kwenye mahusiano katika website mbali mbali na vitabu. Waandishi wengi waliandika kwamba wanaume wanapenda sana kutoa I mean kutoa caring, attension na mambo yote yatakayomfanya aonekane kwa mwanamke wake kwamba anajali, lakini inapotokea mwanamke wake akafanya hayo niliorodhesha hapo juu basi mwanaume huyu atajiona kama anadhalaulika,na kuanza ku pull away, je wanaume ni kweli kwamba mnapopendwa huwa mnatabia ya ku pull away, je hampendi wanawake zenu wawaoneshe mapenzi ya dhati, akupe caring attension na vingine vyote? je mnapenda wanawake zenu wabehave vip mnapokuwa kwenye mahusiano.
Mwenzenu nimekaa na kutathimini historia ya mapenzi yangu tangu nilivyoanza mahusiano ya kimapenzi, nikagundua kuwa wanaume ambo niliwapenda sana hatukuweza kudumu kwa mda mrefu, ila ambao sikuwapenda ile kiukweli ndo niliodumu nao sana na mimi ndo nilikuwa nawaacha kwa sababu sikuweza kujilazimisha kuwa nao wakati siwapendi, nikawa najiuliza maswali mengi kwa nini mwanaume ninaempenda sana ananiacha, sikupa jibu sahihi baadae nikaamua kuanza kusoma tabia za wanaume wawapo kwenye mahusiano katika website mbali mbali na vitabu. Waandishi wengi waliandika kwamba wanaume wanapenda sana kutoa I mean kutoa caring, attension na mambo yote yatakayomfanya aonekane kwa mwanamke wake kwamba anajali, lakini inapotokea mwanamke wake akafanya hayo niliorodhesha hapo juu basi mwanaume huyu atajiona kama anadhalaulika,na kuanza ku pull away, je wanaume ni kweli kwamba mnapopendwa huwa mnatabia ya ku pull away, je hampendi wanawake zenu wawaoneshe mapenzi ya dhati, akupe caring attension na vingine vyote? je mnapenda wanawake zenu wabehave vip mnapokuwa kwenye mahusiano.
kuna kitu ulikua unakosea na labda wanawake wengi hawakijui kuhusu sisi wanaume,tunapenda sana kuonyeshwa mapenzi ya dhati,kuwa cared na kuonyeshwa attention,lakn wanawake wengi mnafikiri kumganda(wivu wa kuzidi kiasi) sana mwanaume i.e anakosa hata privacy eg;akitoka na wenzake bila ww kuwepo shida,akiongea na watu wa jinsia ya kike uanleta zengwe bila kuuliza na mambo kama hayo ndio mnafikiri ni caring....hapo ndipo tatizo linapoanzia,...anyway kwa ufupi wanaume wengi tunapenda sana uhuru pamoja na hiyo caring,attention and so forth and so on.
Ooohh sory kumbe ni wanaume tuu haya mie napita tu
duuuuuh goodevening dear!umefufuka?nilisoma Mods walikukimbiza ukadumbukia mtoni ukajifia sasa inakuwaje hapa?Ooohh sory kumbe ni wanaume tuu haya mie napita tu
1.mwanamke akipenda WIVU atakuwa nao
2.Wanaume wachache anaoweza vumilia kero za WIVU. Matokeo yake......NAKUACHA.
utajicontroll vipi na wewe ukipenda unapenda JUMLA????????Asante sana mkuu, kwa hiyo wivu ndo huwa unaniponza, ntajitahidi kujicontol
asante sana mkuu IGWE, kingine eti hampendi kupigiwa simu mara kwa mara, eti mnaona kama mnasumbuliwa
Ooohh sory kumbe ni wanaume tuu haya mie napita tu
karibu dena.habari ya BAN?
duuuuuh goodevening dear!umefufuka?nilisoma Mods walikukimbiza ukadumbukia mtoni ukajifia sasa inakuwaje hapa?