Kwa wanaume tu-offer ya wkend

kwanini msijitambue ?
Hujawahi pata mgeni akavua viatu halafu hali ya hewa ndani ikabadilika ghafla na yeye anaendelea tu kuunga stori tena peacefully na kesho nakutwa yake vivyo hivyo?? sasa huyu anajitambua kweli?
 
haa haha....nice one lady, asante kwa ukumbusho...

...nilikuwa nakamulia limao mwenzio, ngoja nikanunue nive...ooppss...brut!
soksi nalaumu kucha la dole gumba!...halikatiki kwa kukomaa!

anyway, msg delivered...lol
mmmh mbu wewe ni male kwanza?
 
just imagine saint.huku mjini miwanaume inatisha balaa mimbuzi si mimbuzi mwee

hata mimi nawashangaa sijui hata mnawakumbatiaje na kuwalambalamba watu wachafu hadi kwenye nanihii zao. mna moyo nyie
 
Hujawahi pata mgeni akavua viatu halafu hali ya hewa ndani ikabadilika ghafla na yeye anaendelea tu kuunga stori tena peacefully na kesho nakutwa yake vivyo hivyo?? sasa huyu anajitambua kweli?
hiyo mijitu ipo kibao unakuta lenyewe linapiga stori lipo comfortable sana tu ..aa mimi naliambia live hata kama ni bro wangu najua ukimwambia ndio harudii tena
 
Smile, mimi nawahi kabla wachakachuaji kuingilia kati. TUTOKE WOTE!
 
We smile umefikiria nini? lhebu cheki mapigo yangu, kwa hiyo ukiwa karibu na mimi hautasikia halafu ya socks wala viatu



 
Ujumbe safi huu! hongera Smile kwa kutoa somo!
 
Nilikuwa natafuta uchochoro wa kupita, napita jamani!
 
Kumbe semina ya mwakasege imeaanza?Ninatamanije!!!
 
Love you too smile.......but duh umiweka hii uzi ina hard way ila kwa kweli hata kwetu waaapo

N u know waat !!!!!!! Next time uwaambie na mashost wako pia banaaa smtmz aaaaaaagh shombooooo ferrrriiiiiiiiiiiii

Tutaambiana maskani kwamba ushaanza kukinukisha.........we work on advice
 
tutaambiana tu.hv kwanini mnakojoa ovyo barabarani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…