nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
- Thread starter
-
- #41
Nyumba Kubwa huyo aloambiwa wakati wa kua proposed mbona ana bahati... Urafiki wa siku hizi mnajikuta mmoja ana mimba alafu mwanamke unaanza kwa gear ya "mimi mimba sitoi" wala "nyumbani hawawezi nielewa" Jamaa anatafakari anaona "Ok. basi this weekend hamia kwangu kujitambulisha nitaenda mwisho wa mwezi.....lol
Hiyo miziki si kwamba siipendi; I even dance nikiwa home BUT can't dedicate to anyone kwani inaongelea third parties na si wapendanao.
Ndo maana when it comes to love naona wenzetu wazungu wametuzidi katika kutengeneza mistari.
Karibu wangu mpenzi, njoo ukae moyoni
Pita bila ya simanzi, nakuomba niamini
Naapa takuhifadhi, takulinda na majini
Nafasi ya moyo wangu, yako wewe peke yako
Nakupigia na pingu, sitompisha mwenzako
Naukae uwe wangu, niwe wako mali yako
Hiyo miziki si kwamba siipendi; I even dance nikiwa home BUT can't dedicate to anyone kwani inaongelea third parties na si wapendanao.
Ndo maana when it comes to love naona wenzetu wazungu wametuzidi katika kutengeneza mistari.
usije kutupa 'uchawi wa kukuroga' hapa by accident..lol
watu wanachukua notes....lol
Sasa namkumbatia mwenzangu nambusu anibusThe Finest wasafirishe wasafirisheeee
Mazee...mimi taste yangu kwenye muziki ni eclectic. Kwenye rusha roho nipo...kwenye muziki wa dansi nipo...rock and roll nipo...country nipo..hip hop and r n' b nipo.
Siku nikiwa kwenye mood ya uanamapinduzi natwanga tunes za Bob Marley, Alpha Blondy, Lucky Dube etc. Ukinikuta gym nasukuma uzito basi natwanga DMX, Wacka Flocka, Ricky Rozay n.k. Ukinikuta najisomea basi naweka Mozart au Beethoven pale kati basi kila kitu kinakuwa mzuka!
Hmm...basi wewe si mpenzi kikweli kweli maana ipo mingi tu inayoongelea wapendanao!
Hebu tingisha mwili kidogo basi si unajua taarab lazima ucheze kwa maringo lol!!!hahahahaha!!! Gosh! Ama kweeeeeli.....lol
Iwapi ile ahadi, wewe uliyoiweka
umeitupa baidi, huwezi kuikumbuka
au wafanya kusudi, nipate kuadhirika
Kudanganywa nimechoka, mwenzio nnateseka
penzi lako nalitaka, nipate kufurahika
Ni kweli mimi si mpenzi kiivyo; na siwezi nunua CD ya taarabu; nadhani nimekuwa affected na mme wangu kwani yeye hapendi kabisaaa.
But ikipigwa kwenye TV naangalia; nacheza; but I only know few kama huo wa hao walopata ajali kwa kuwa ulivuma na ulikuwa unapigwa now and then; Ila siwezi kwenda kuangalia taharabu hata bure.
kuna iwapi ile ahadi ....bibie analalama bwana hajamkubali hadi muda huo
Yap!!! Arifu tuko pamoja yaani taste unazozisema ndio za kwanguMazee...mimi taste yangu kwenye muziki ni eclectic. Kwenye rusha roho nipo...kwenye muziki wa dansi nipo...rock and roll nipo...country nipo..hip hop and r n' b nipo.
Siku nikiwa kwenye mood ya uanamapinduzi natwanga tunes za Bob Marley, Alpha Blondy, Lucky Dube etc. Ukinikuta gym nasukuma uzito basi natwanga DMX, Wacka Flocka, Ricky Rozay n.k. Ukinikuta najisomea basi naweka Mozart au Beethoven pale kati basi kila kitu kinakuwa mzuka!
Nyimbo za zamani full mapenzi, full watu wawili tu. Tena za kila aina, kulala, kufurahia mapenzi, kuomba penzi, kuli-renew, ......zote zipo, uchoke wewe tu
umeonaeeeeeeeeeeeeeeee............................hoto:
Hebu tingisha mwili kidogo basi si unajua taarab lazima ucheze kwa maringo lol!!!
ahadi ya white apple au?????lol
halafu nilikwambia nitafutie jina la huu wimbo na alieimba...mpaka leo kimya...
tulia mpenzi,tulia mpenzi
tulia mpenzi nipate tulia....
salha sudi wewe ndo kipenzi changu..
tulia mpenzi tulia mpenzi
tulia mpenzi nipate tulia.....
nimewahi kumuona SAL DAVIS akiuurudia sijui kama yeye ndie alieimba
Kumbe huwa wajificha weye nitatafutaI love dancing... hua nacheza saaaana tu! ila nikiwa peke yangu room....lol