kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Habari gani
Wakati mwingine unapomtumia messge binti mara kwa mara either kwenye mitandao ya kijamii or kwenye simu yake ya mkononi then hakawa hajibu licha ya kumuona online or licha ya kuona messge yako iko Delivered.
Siku ghafla ukiona anakutumia yeye messge na yupo tayari kuchat na wewe hasa wakati wa weekend plz tumia akili kabla ya kukurupuka kuanza kuchat nae,
- Usikimbilie Dukani kuongeza bandle
- Usikimbilie kuongeza Extrem msg
Shtuka kwanza jiulize kulikoni,halafu ukiona maswali yanakuwa mengi kati yenu na kila unachomuuliza anajibu bila wasiwasi
"Ondoa mawazo yako ya zali la mentali" na kujipa mahope ya ajabu ajabu......
Hawa Mabinti wa siku hizi baadhi yao ni wajanja sana utakuta,, Utakuta yupo Saloon kawekwa "DRYER" Kichwani"ROLLERS" zake umeme umekatika yupo boared anaamua kukutafuta wewe umsogezee masaa kwa kuchati chati akiwa anasubiri umeme urudi au nywele zake zikauke!! Au unaweza kukuta pengine anasuka rasta za Kimasai, Msusi mwenyewe hana speed kamkalisha masaa kibao shingo inamuuma kuisha haziishi anaamua kubuy time kwako atlest asiwe boared ili amalize kusuka...
Haahaaa sasa siku jipendekeze wewe kumtumia msg ukitegemea mtachati kama siku zile Ukimwambia upo? atakujibu "Nipo mzima wewe? Ukijibu me mzima atakujibu " Ok siku njema bye"...
Haaaahaaa Hawa ndio Madada wa Mjini bhana ila sio wote baadhi ndio wapo ivyo.
Nisikilize mimi uone kama utapotea maana me Mademu sijawajulia FB wala JF.