Kufanya mapenzi kila siku, hupunguza uwezekano wa kumpa mimba mwanamke?

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,807
Mshukuru Mungu kwa afya bora,

Moja kwa moja niende kwenye mada,

Ninahamu kubwa ya kufahamu kwa mwanaume anaefanya mapenzi kila siku na mke wake ana uwezekano wa kupunguza uwezekano wa kumpa mimba mwanamke?

Kifupi, kufanya mapenzi kila siku hupunguza sperm mobility.

Hupunguza sperm motility?

Hupunguza sperm morphology?

Naomba mnisaidie kwa Faida yangu na faida ya watu wengine.

Mshukuru Mungu kwa uzima.

Dar es salaam kila siku watu 6 wanakufa kww ajali ila wewe upo.
 
Kila siku Dar wanakufa 6 kwa ajali, bado hujaenda huko mahospitalini. Sisi tusubiri mda wetu utafika tu, wala hatuna haja ya kushukuru as death is inevitable, sooner or later.
 
Back
Top Bottom