maisha ya wanaume ni ya ajabu sana.wanaume wana tabia mbalimbali but kuna vitu vitatu ambavyo kila mwanaume lazma ataangukia hapo. Kuna kitu kinaitwa ADDICTION. Kwa tafsiri isiyo rasmi addiction ni utegemez wa jambo fulani ambalo humfanya mtu awe kama zoba kila anapofanya jambo hilo pasipokuwa na nguvu ya kuacha kufanya. Wanaume wako addicted na
1.POMBE
2.SIGARA
3.WANAWAKE
Hakuna mwanaume yoyote duniani ambaye anaweza kutoka nje ya hapo.

Ukiwa addicted vyote u need a lifetime rehab!!
Its amazing am in mase with you,i just cant crack the code,one day you screaming you love me laud the next ur soo cold ,one day you hereee ,one day you there, its so unfair ,sipping from the cup till the Runeth is over HOLYGRAIL
Aisee ni kweli, mimi ni bonge la womaniser!!!!!! Nampenda sana mai waifu tu be....!!!!!:frusty:
heading neno la mwisho ni nini
Nadhani alimaanisha UN KWEPABO......
ukwenkabo ni nini?