snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,165
Nilikua na Dunu Trident D-12
lakini wamenifanyia unyama wajanja
Ushauri kama umetumia moja wapo ya hizi bidhaa iBeats au earpods
Naulizia earpods na iBeats kama ushawahi tumia kwenye simu nyingine zaidi ya Iphone na zikapiga kazi fresh, mana earpods nilizonazo they're real crappy on my Nexus. Sasa sielewi kama ni apple restrictions au vip.