kwa wanaotaka video call masjid simu

h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,530
3,315
Kwa wale wenye simu zinazo support video call kuna apps Kama skype na fring lakini skype hai support video call kwa baadhi za simu zenye uwezo huo fring Ina support video call kwa platform hizi symbian,iPhone blackberry androids na nyinginezo inapatikana kwenye apps store za hizo simu download na u sign up na uwaambie na wengine wajiunge muweze kuwasiliana through video
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom