Kwa wanaotaka kuanza biashara.

Kwa wanaotaka kuanza biashara.

Ommylady

Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
23
Reaction score
4
Kwa wale ambao wanataka kufanya biashara na bado hawajawa na maamuzi katika kuamua biashara gani wafanye, maelezo ni marefu. Ni PM.
 
Biashara ya PM ni kufungua danguro,bhangi,hashishi,mirungi,chalas,nyara za serikali na kama hayo!!!!!

Weka mambo hapa acha habari ya DECI
 
Dalili za utapeli hizo. Kwani ni biashara ya Bangi?
 
Kwa wale ambao wanataka kufanya biashara na bado hawajawa na maamuzi katika kuamua biashara gani wafanye, maelezo ni marefu. Ni PM.
maelezo marefu halafu unataka PM sasa si bora ukaweka hapa kwa mara moja kuliko kumwandikia kila mtu separately hayo maelezo marefu! usilazimishe watu wakutukane mkuu!
 
Sikukatishi tamaa kama kweli una wazo zuri weka hadharani,hivi kuna maelezo marefu kama yale ya Ripoti ya siri ya zitto? Mbona iliwekwa na ikatosha? Kuna Dr Flan hiv ana CV ina page 32 lakini iliwekwa humu na ikatosha sasa hayo mamelezo marefu yako yasiyotosha ni yapi? Biblia yenyewe ile zipo softcopy zake kwenye pdf na zimewekwa online tena zina 6MB sasa hayo maelezo yako ukiyaweka kwenye softcopy yatazidi 50MB?(Limit ya JF) kama una nia ya kweli mwaga hadharani kama hauweki hapa basi kuna kila dalili ya wizi na utapeli huko PM.
 
Deci imerudi tena 2014?
UNATAKA KUTUVUNA PASI NA KUPANDA JIPANGE
wapenda maendeleo mambo yao yapo wazi
 
uuuuuuups what kind of human being u ar????PM????FOR BUSNESS OR???be seriuos bhana nimeacha kukata nyanya na vitunguu jikon nikafungua fasta nikijua napata maujuzi nivunje kibubu changu kumbe mtoto wa kike nakutanana mambo ya PM.......weka wazi hapa jamvin tusom na tukiona kuna point utatafutwa
 
Back
Top Bottom