Kwa Wanaosoma CPA (T)-FOUNDATION LEVEL

Kwa Wanaosoma CPA (T)-FOUNDATION LEVEL

tzhello

Senior Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
114
Reaction score
52
Habari wadau,nataka kuanza kusoma masomo ili nifanye mitihani ya bodi NBAA kwa kuanza na foundation level. kwa mwenye notes anaweza nisaidia maana nipo mkoani hakuna namna naweza kuhudhuria reviews. Thanks
 
Inbox me, tuone namna sahihi ya kushare hizo pdf files.
 
Back
Top Bottom