Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 823
Utasikia mtu tangu anaanza safari asubuhi mpaka anafika safari yake jioni anapiga simu kila baada ya dakika kumi kutambulisha alipofika, utadhani kabeba pembe za ndovu..!!
Utasikia mtu tangu anaanza safari asubuhi mpaka anafika safari yake jioni anapiga simu kila baada ya dakika kumi kutambulisha alipofika, utadhani kabeba pembe za ndovu..!!
Co ushamba but Ni muhimu kujurisha ndugu zako kila hatua unayofikia
Si atume screenshot ya google map my position. Kwisha khabari.
Mengine mahaba mahabani....si unajua zile "umefika wapi dear? Pole kwa safari jamani, I miss u" Aaah kwa nini asitambulishe?
We kama huna wa kumwambia weka earphones.....
Wengine huuliza umempikia mtoto uji na hiyo ni saa sita mchana,halafu sinzia kidogo baadaye simu tena baba John kesharudi,usingizi akiamuka kwani uko wapi saa hizi uwahi kurudi nyumbani,usingizi tena akiamuka nimekumiss mume wangu natamani nirudi leo leo,papo hapo anapiga kwenye kidumu kingine kesho nakuja nikufumanie ole nimkute mtu mwingine nitamung'oa kucha ,usingizi tena,akiamuka charge imeisha ,utasikia kaka samahani naomba simu niwajulishe kuwa nipo karibu Makandana waje kunipokea ,ukisafiri kuna burudani tosha
Mengine mahaba mahabani....si unajua zile "umefika wapi dear? Pole kwa safari jamani, I miss u" Aaah kwa nini asitambulishe?
We kama huna wa kumwambia weka earphones.....