Kwa wanaomfahamu vizuri mbunge Hawa Ghasia wanisaidie

Hawa Abdulrahiman Ghasia alizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 70 katika kijiji cha Naumbu ambacho kipo kandokando ya bahari ya Hindi kule mkoani Mtwara. Ni msomi wa shahada ya Maendeleo ya Jamii aliyoipata pale UDSM. Historia ya maisha yake inaonesha kwamba amekuzwa katika mazingira ya umaskini mkubwa kwani shughuli kubwa ya kiuchumi ya mzee A. Ghasia ambaye sasa ni marehemu ilikuwa ni uganga wa kienyeji ambao unatumia maandishi ya kichawi almaarufu "Falak". Hii ni aina ya uchawi ambayo mara nyingi hutumika kupoteza uhai wa watu. Kabla anachaguliwa kuwa mbunge wa Mtwara Vijijini, Bi. Hawa alikuwa Afisa Maendeleo ya Jamii katika Halmashauri ya wilaya ya Masasi. Kitabia, dada huyu ni mwenye majivuno na dharau kwa kiwango cha juu. Hii inatokana na kuringia mafanikio aliyoyapata ukilinganisha na familia aliyozaliwa ambayo ni duni na yenye kutegemea uchawi kuendesha maisha ya kila siku. Ni miongoni mwa wabunge wanaowakilisha jamii maskini sana hapa Tanzania. Maisha ya wananchi wa Mtwara (V) ni duni sana ukilinganisha na majimbo jirani ya Nanyamba, Mtwara Mjini na Tandahimba. Naona niishie hapo kwa leo.
Ongezea tafadhali
 
Huna hoja.. sasa akitokea familia masikini basi ndio asifanikiwe au asiongee?? pumbu zako mshenzi wewe.. Mbona yuko kawaida anasaidia watu sana.. anasomesha watu sambamba na mkapa.. Barabara nyingi za mtwara mjini yeye ndio alihamishia hiyo miradi kutoka mikoa ya kati.. wakati huo akiwa waziri wa TAMISEMI.. mtwara ilipata barabara nyingi sana wakati wa uwaziri wake... jimbo lake ndilo ambapo DANG'OTE amejenga kiwanda kikubwa.. Acheni unafiki.. Mama kajitahidi sana.. hata timu yenu ya NDANDA ALIKUWA AKIIILIPIA MAMBO MBALIMBALI... msijenge chuki kiasi hicho.. Mm siipendi CCM lkn yule mama anataka sana kwao (MTWARA) kuwe na maendeleo sana...
Lugha hii ni ya JF
 
Mtasema mengi sana, lkn ukweli in kwamba upande huo kuna watu wenye extreme love kwa chama chao na they don't care about this country. Wako wengi sana, na ndiyo sababu kubwa ya kutopenda kukosolewa hata kama wamekosea.
Subiri chama chenu Kiende Ikulu 2055. Mnaichukia CCM kwa sababu ya ukabila wenu na huyo mroho wenu wa madaraka haendi Ikulu ng'o!
 
Hawa Ghasia first degree kasomea Mzumbe, second degree kasomea SUA, pia ni mchumi; Masasi alikuwa Afisa Mipango nasahihisha. Pamoja na kasoro alizonazo ni mchapa kazi kapambana kikamilifu katika maisha anastahili sifa hapo alipofika hakuna haja ya kumbeza kuwa katokea familia maskini. Ni fahari kutoka familia maskini ukajitahidi na kupanda juu kuliko kubakia kama wazazi wako waliko. Acheni porojo za UKAWA
Tofautisha kubebwa na watu waliotoka familia maskini na kutuachia Legacy...mf. Kambarage, Madiba, Tyson, CR7...
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Huna hoja.. sasa akitokea familia masikini basi ndio asifanikiwe au asiongee. Mbona yuko kawaida anasaidia watu sana.. anasomesha watu sambamba na mkapa.. Barabara nyingi za mtwara mjini yeye ndio alihamishia hiyo miradi kutoka mikoa ya kati.. wakati huo akiwa waziri wa TAMISEMI.. mtwara ilipata barabara nyingi sana wakati wa uwaziri wake... jimbo lake ndilo ambapo DANG'OTE amejenga kiwanda kikubwa.. Acheni unafiki.. Mama kajitahidi sana.. hata timu yenu ya NDANDA ALIKUWA AKIIILIPIA MAMBO MBALIMBALI... msijenge chuki kiasi hicho.. Mm siipendi CCM lkn yule mama anataka sana kwao (MTWARA) kuwe na maendeleo sana...
Oohh Kwahiyo yeye ndo kasababisha huku tukose barabara poa
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Hawa Ghasia ni mtoto wa mzee Mapenzi Ghasia. So just from their names you can build your expectations kuwa hawa ni watu wa aina gani... :eek::eek::eek:
 
Back
Top Bottom