Kwa wanaomfahamu vizuri mbunge Hawa Ghasia wanisaidie

Rogart Ngaillo

Verified Member
Apr 27, 2013
853
1,000
Habarini wakuu!

Najaribu kumtathimini huyu mbunge (Hawa Ghasia) pasipo kupata jibu linaloshibisha njaa yangu hasa ya kujua nini tatizo linalomsibu huyu mwakilishi

1. Kwa wale mnaofuatilia Bunge, endapo huwa unakwazwa na sauti fulani ya "NDIYOOOOOOOOOOO" ambayo inasikika zaidi na huwa inatangulia na kuchukua muda mrefu kuliko za wengine wote, basi tambua mpiga tarumbeta huyo ni huyo Mama!

2. Mara nyingi anapochangia hoja (japo huwa hachangii cha maana zaidi kutoa mapovu tu) huwa hana lugha ya kibunge kabisaa.
Maneno kama:-Mtajiju,...Mtalijua jiji,....Limekuchoma chwiii wacha kulialia,....ndiyo lugha inayobeba mjadala...

3. Huyu mbunge akipata nafasi ya kusimama tu bungeni, usitegemee kwamba maneno yatakayofuata hapo ni kuchangia hoja iliyopo mezani au kuongelea matatizo ya anaowawakilisha. Thubuutu!....Hapo anatumia dakika zoote alizopewa (kujivika uwaziri) kujibu hoja za wabunge wa upinzani utadhani amekaimu nafasi ya waziri.

Hawa Abdulrahiman Ghasia alizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 70 katika kijiji cha Naumbu ambacho kipo kandokando ya bahari ya Hindi kule mkoani Mtwara. Ni msomi wa shahada ya Maendeleo ya Jamii aliyoipata pale UDSM. Historia ya maisha yake inaonesha kwamba amekuzwa katika mazingira ya umaskini mkubwa kwani shughuli kubwa ya kiuchumi ya mzee A. Ghasia ambaye sasa ni marehemu ilikuwa ni uganga wa kienyeji ambao unatumia maandishi ya kichawi almaarufu "Falak". Hii ni aina ya uchawi ambayo mara nyingi hutumika kupoteza uhai wa watu. Kabla anachaguliwa kuwa mbunge wa Mtwara Vijijini, Bi. Hawa alikuwa Afisa Maendeleo ya Jamii katika Halmashauri ya wilaya ya Masasi. Kitabia, dada huyu ni mwenye majivuno na dharau kwa kiwango cha juu. Hii inatokana na kuringia mafanikio aliyoyapata ukilinganisha na familia aliyozaliwa ambayo ni duni na yenye kutegemea uchawi kuendesha maisha ya kila siku. Ni miongoni mwa wabunge wanaowakilisha jamii maskini sana hapa Tanzania. Maisha ya wananchi wa Mtwara (V) ni duni sana ukilinganisha na majimbo jirani ya Nanyamba, Mtwara Mjini na Tandahimba. Naona niishie hapo kwa leo.
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,347
2,000
Habarini wakuu!

Najaribu kumtathimini huyu mbunge (Hawa Ghasia) pasipo kupata jibu linaloshibisha njaa yangu hasa ya kujua nini tatizo linalomsibu huyu mwakilishi

1. Kwa wale mnaofuatilia Bunge, endapo huwa unakwazwa na sauti fulani ya "NDIYOOOOOOOOOOO" ambayo inasikika zaidi na huwa inatangulia na kuchukua muda mrefu kuliko za wengine wote, basi tambua mpiga tarumbeta huyo ni huyo Mama!

2. Mara nyingi anapochangia hoja (japo huwa hachangii cha maana zaidi kutoa mapovu tu) huwa hana lugha ya kibunge kabisaa.
Maneno kama:-Mtajiju,...Mtalijua jiji,....Nimekuchoma chwiii wacha kulialia,....

3. Huyu mbunge akipata nafasi ya kusimama tu bungeni, usitegemee kwamba maneno yatakayofuata hapo ni kuchangia hoja iliyopo mezani au kuongelea matatizo ya anaowawakilisha. Thubuutu!....Hapo anatumia dakika zoote alizopewa (kujivika uwaziri) kujibu hoja za wabunge wa upinzani utadhani amekaimu nafasi ya waziri.
Afisa mipango wa mtwara vijijini miaka illeee!! Ameingia bungeni kwa ushawishi kutoka msoga na "side dish" ya mzee wa msoga!!
 
Mdudu halisi

JF-Expert Member
May 7, 2014
2,735
2,000
Hawa Abdulrahiman Ghasia alizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 70 katika kijiji cha Naumbu ambacho kipo kandokando ya bahari ya Hindi kule mkoani Mtwara. Ni msomi wa shahada ya Maendeleo ya Jamii aliyoipata pale UDSM. Historia ya maisha yake inaonesha kwamba amekuzwa katika mazingira ya umaskini mkubwa kwani shughuli kubwa ya kiuchumi ya mzee A. Ghasia ambaye sasa ni marehemu ilikuwa ni uganga wa kienyeji ambao unatumia maandishi ya kichawi almaarufu "Falak". Hii ni aina ya uchawi ambayo mara nyingi hutumika kupoteza uhai wa watu. Kabla anachaguliwa kuwa mbunge wa Mtwara Vijijini, Bi. Hawa alikuwa Afisa Maendeleo ya Jamii katika Halmashauri ya wilaya ya Masasi. Kitabia, dada huyu ni mwenye majivuno na dharau kwa kiwango cha juu. Hii inatokana na kuringia mafanikio aliyoyapata ukilinganisha na familia aliyozaliwa ambayo ni duni na yenye kutegemea uchawi kuendesha maisha ya kila siku. Ni miongoni mwa wabunge wanaowakilisha jamii maskini sana hapa Tanzania. Maisha ya wananchi wa Mtwara (V) ni duni sana ukilinganisha na majimbo jirani ya Nanyamba, Mtwara Mjini na Tandahimba. Naona niishie hapo kwa leo.
 
nabiidaniel

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
804

Huogopi anaweza kukurushia Falak moja ukageuka kingwendu?
 
CARDLESS

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,107

Huna hoja.. sasa akitokea familia masikini basi ndio asifanikiwe au asiongee. Mbona yuko kawaida anasaidia watu sana.. anasomesha watu sambamba na mkapa.. Barabara nyingi za mtwara mjini yeye ndio alihamishia hiyo miradi kutoka mikoa ya kati.. wakati huo akiwa waziri wa TAMISEMI.. mtwara ilipata barabara nyingi sana wakati wa uwaziri wake... jimbo lake ndilo ambapo DANG'OTE amejenga kiwanda kikubwa.. Acheni unafiki.. Mama kajitahidi sana.. hata timu yenu ya NDANDA ALIKUWA AKIIILIPIA MAMBO MBALIMBALI... msijenge chuki kiasi hicho.. Mm siipendi CCM lkn yule mama anataka sana kwao (MTWARA) kuwe na maendeleo sana...
 
mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,050
2,000
Mbona sioni hoja inayojengwa dhidi yake kwenu mnaompinga!!! Hoja zenu ziko kimajungu majungu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom