Habari JF members.
Naomba msaada kwa yeyote anayekodisha au anayejua contact za watu wanaokodisha vifaa vya usafi mfano carpet, upholstery cleaners, na zinginezo. Pia vifaa vya bustani mfano mowers, n.k.
Mwenye msaada itakua vyema kama atani p.m, bila kusahau gharama zake, vigezo na masharti kadri iwezekanavyo. ASANTENI.