Kwa wanaojua process za kuhama chuo

Kwa wanaojua process za kuhama chuo

Rosati

Senior Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
104
Reaction score
69
Jambo pipo, nimepata selection ya chuo kimoja kibovu kweli na nimepangiwa faculty ambayo siipendi, nasikia huwa mtu unaweza ukahama chuo, hivi kuna madhara yoyote ukihamishwa chuo na je inahitaji process zipi? Kindly advice kwa wazoefu...
 
Jambo pipo...nimepata selection ya chuo kimoja kibov kweli na nimepangiwa facalty ambayo siipend,naskia hua mtu unaweza ukahama chuo,hivi kuna madhara yyte ukihams chuo na je inahitaji process zipi?kindly advice kwa wazoefu...

Unapangiwa kutokana na machaguo yako 5
 
  • Thanks
Reactions: V2d
du..kuna nyuzi nyingi humu zinaelezea process za kuhama chuo.zitafute
 
duh unachagua kitu ambacho ukipendi!!!! hii kwli ni sheeda
 
duh unachagua kitu ambacho ukipendi!!!! hii kwli ni sheeda[/QUOTE
mkuu..nlichagua 1st round,nkakosa.then 2nd nliaply tu ili nipate,

Ndugu Bla Shaka Umechaguliwa St Joseph,,Transfer Ztafanyika Online Kuptia Account Yko Ya Tcu Kutokana Na Available Slots(machaguo Yatakayokuwepo).Kwa Wale Wa 1st Round Tayar Kpengele Cha Transfer Kpo Kwene A/c Zao Lakn Kpo Blocked Yaan Hakfany Kaz Had Pale Udahil Utakapoisha Na Dirisha La Transfer Kufunguliwa Kwa Wanafunzi Wote Na Ztakua Ni "first In First Served" (dzain Kama Kuwahia Nafac Yan Anayewahi Kuomb Ndo Anapata)...Utalipia kwanza Tshs.30000/= via mtandao pesa wowote.
 
Thanks mkuu...ishu za mikopo je itakuaje...af nimechaguliwa Bagamoyo
 
Binti sijakupenda...unaonekana una nyodo sana wewe...si heshima kitaaluma kuandika post kama hii...labda ni kwa kuwa wewe ni kindaki ndaki wa taaluma!
 
Back
Top Bottom