wadau mimi ni blogger na nna adsense but nasikitika adsense hazionekani kwenye opera mini na ukicheki viewers wengi wanatumia opera so nimeambiwa mobstack wanauwezo wa kudisplay ads kwenye blog so anayejua jinsi ya kuwezesha naomba aniambie pleaz
iyo kitu ipo sana lakin unalipia kwa mwezi mkuu cheki kwenye website yao ni dola 19 kama sijakose,,hapa bongo watu weng hawaijui kenya ndo wanajua wanatumia nairobiwire.com