inaanze A,then C, mwisho B
Itaanza nyekundu then zote mbili zitaenda kwa wakati mmoja coz hakutakuwa na ulazima wa kusubiriana tenaInaanza nyekundu kisha njano
inaanze A,then C, mwisho B
uko sawa mkuu.
Ni gari ipi hapo inatakiwa ipite kwanza?halafu ifuate ipi?
Ni gari ipi hapo inatakiwa ipite kwanza?halafu ifuate ipi?
A then B na C kwa Pamoja
Sent from my iPhone using JamiiForums